Msaada tutani: Mwenzenu sioni raha ya mapenzi

Sweetlicious

Member
Nov 1, 2013
70
26
Mimi ni mwanamke mwenye Umri wa Miaka 26, nimeolewa hivi majuzi na Mme wangu wa umri wa Miaka 34, tunapendana sana na ananitimizia kila kitu isipokuwa kuna shida kwenye "Unyumba".

Tulianza mahusiano kwa miezi kadhaa kabla ya kuoana na kuhamia kwetu peke yetu.

Tatizo lipo Chumbani tu mwenzangu anapenda sana kulambwa corn na nikimlamba kidogo tu anamwaga saa zengine mdomoni na akisha mwaga tu anaishiwa nguvu na kulala hapo hapo na kuanza kukoroma mpaka kesho na huamka kwenda kazini na kuniacha hivo hivo na maumivu ya tangu jana usiku.

Hali hiyo inanipa shida sana kwani anakuwa hajanipa haki yangu na hisia tayari zilishapanda nabaki naumia usiku wote na kuwa na mood mbaya kunapokucha, mara nyingi nabaki nimetumbua macho kama bundi usiku wote huku yeye ameridhika na amelala usingizi mnono napata maudhi sana natamani hata nimpige vibao akiwa usingizini.

Siku akijitahidi tuna have sex lakini anakuwa kama Kuku dakika tatu kashamaliza embu imagine hali nayokuwa nayo usiku huo na ujue hapo ndio kwisha Battery.

Basi nimejitahidi kumrekebisha hawezekani ndo kwanza namvuruga nakuanza kuniambia namzarau ingawa wakati tunaanza mahusiano alikuwa ananichukua tunaenda Hotel na alikuwa anajitahidi sana ingawa si katika kiwango nilichotaka, nilivumilia kwani nilihitaji kuolewa na nikajua ntamrekebisha tukikaa wote ata-Improve lakini ndio amerudi Nyuma kiasi kwamba swala la mapenzi kwangu limekuwa jinamizi linaloniwinda kila muda.

Ananisababishia hasira na stress zisizoisha nakuwa na mood mbaya mpaka kunifikisha hatua ya kukwaruzana na wafanyakazi wenzangu bila hata ya sababu au kwa kitu kidogo mara zingine nagombana na wateja na kuna siku nimesababisha msururu mrefu Bank kwani sikuwa na mood kabisa ya kufanya kazi na jana tu kidogo nitumbukize gari mtaroni kutoka na msongo wa mawazo kwa vile tu najiona siko sawa na najisikia hovyo nachukia kila kitu, asubuhi tu nimembonda mdada wa kazi kwa kitu ambacho yani najutia kitendo nilichofanya kwani hakukuwa na sababu.

Kabla ya kuwa na yeye nilikuwa na Mvulana wangu alikuwa Mwanaume wa Ukweli, round za kutosha, alikuwa anajua romance, nilikuwanaridhika mpaka nasema sitaki tena nimechoka.

Mvulana wangu alinizoesha kunyonya huku chini lakini tangu niwe na huyu Mme wangu hataki katu katu kusikia hicho kitu, nimemiss sana na nilishazoea hataki kabisa hata nikimshawishi vipi hataki lakini corn anataka kulambwa na ananiambia eti maungo yetu ni tofauti na ni sawa mi kumnyonya nshaanzisha na mgomo hapa kabisa na ameninunia.

Naona Ndoa Chungu jamani msaada wenu wa ushauri ni muhimu.

Naombeni Ushauri, Sitaki kusaliti viapo vyangu juu ya Ndoa yangu kwa Baba Padre nilivyo apa mbele ya waumini, na Mungu.Asanteni Wana Jamii.
 
pole sana kwa matatizo hayo Dr.Mzizimkavu atapita hapa na tiba mahususi,siku mwenye tatizo(mmeo)akitambua tatizo lake itakua rahisi kumtibu,kama unaweza mshauri afanye mazoezi ya mwili yanaboost stamina na pumzi,wasubiri wengine wanakuja!
 
yaani wewe umekosea tangia mwanzo kuoana na mtu ambae hakupi game kwa kiwango ukitakacho...ulitakiwa ufanye jitihada za kumrekebisha tangia mlipokuwa ktk mahusiano na kama ingeshindikana ungetoka nduki sasa mwenzangu ww mpaka umeolewa ndo unazinduka??wewe unajua raha ya kugegedana na unajua jinsi unavyotaka kugegedwa kwahio hapo utapata shida sana ungelikuwa ni mtu ambae ni mgeni ktk masuala hayo ungeona sawa tu jinsi mumeo afanyavyo!
Back to the topic,lazima umkalishe chini mumeo ambae ni mbinafsi kwa mtazamo wangu na umueleze kwamba hakufikishi anakuacha njia panda...utahitajika ustahamilivu wa hali ya juu mpaka kutokee mabadiliko,hii inahusiana zaidi na psycology na nahitaji afanye kegel exercises za kubana misuli ili kujizuia asipiz haraka!
Na pole sana nyege zimekuzidi ndo maana hasira nyingi!!
 
Haya ndo matatizo ya onja onja siku zote lazima tu utawaza onja tena nje.
Ushauri mwambie ende hospital wakaangalie tatizo lake.
Afu we nae mambo ya sijui ulikuwa na mtu alikuwa ana kufanya hivi na hivi kama vipi mrudie huyo mtu.
Kuolewa mwaenda kwa haraka bila kujipanga nini unategemea hapo
 
pole sana kwa matatizo hayo Dr.Mzizimkavu atapita hapa na tiba mahususi,siku mwenye tatizo(mmeo)akitambua tatizo lake itakua rahisi kumtibu,kama unaweza mshauri afanye mazoezi ya mwili yanaboost stamina na pumzi,wasubiri wengine wanakuja!

Ni kweli.Inambidi afanye jitihada zote mumewe ajitambue ndipo anaweza kusaidika.Ajaribu kumshawishi.
 
....."nilivumilia kwani nilihitaji kuolewa na nikajua ntamrekebisha tukikaa wote ata-Improve lakini ndio amerudi Nyuma kiasi kwamba...."
Na hapa ndio tatizo lilipoanzia. Yaani uliitamani ndoa kiasi cha ku-ignore tatizo ukijipa moyo kuwa utamrekebisha???? Pole sana mdogo wangu na kemea sana hilo pepo linalokukumbushia boyfriend.
 
Masikini wee hasira za ny..ge ni zaidi ya maudhi ! Dah raha ya ndoa msikilizane na kuridhishana sasa mwenzako hana muda huo na bado unamwambia holaaa! Ujue nakuonea huruma ona unavyommiss your x sasa !! aisee sijui nikusaidieje ndio madhara ya ndoa za mategemeo! Anyway mwambie kwa upole na hekima tena kwa hisia ili akuelewe otherwise huyo mumeo dah pole we !!!
 
Niliimba hardcore wadosi wakachomoa ... bwana eeee toa hiyo inaboa

Nikasema niimbe commercial nikajua itaniokoa ... msoto ukazidi badala ya kupoa

Mie masikini wa bahati ... tajiri wa mikosi

Nasema sirudii tena kosa zawadi waweke MELI ... wanikabidhi na SHELI
 
Pole sana dada...hatua ya kwanza ongea nae mwambie tatizo lako iki uone kama atajirekebisha,ikiahindikana baada ya kuongea nenda hsptl mkapate matibabu...ukihitaji mtu wa kukulamba hizo sehem ni-pm a.s.a.p
 
Niliimba hardcore wadosi wakachomoa ... bwana eeee toa hiyo inaboa

Nikasema niimbe commercial nikajua itaniokoa ... msoto ukazidi badala ya kupoa

Mie masikini wa bahati ... tajiri wa mikosi

Nasema sirudii tena kosa zawadi waweke MELI ... wanikabidhi na SHELI

wacha weeh! Sauti yako tu !!
 
Niliimba hardcore wadosi wakachomoa ... bwana eeee toa hiyo inaboa

Nikasema niimbe commercial nikajua itaniokoa ... msoto ukazidi badala ya kupoa

Mie masikini wa bahati ... tajiri wa mikosi

Nasema sirudii tena kosa zawadi waweke MELI ... wanikabidhi na SHELI

Umenikumbusha mbali sana Ndugu zangu Ndugu zangu hiki ni kilio changu mie mwenzenu nina gundu wenzangu msingi penenge wanaendesha tu magari,mtoa mada ni mtunzi mzuri sana na mzushi wa kufa mtu kama m/me basi atakuja kuwa gasho.
 
^^
1. Epuka kulinganisha wanaume, utaumia zaidi
2. Kagua ulaji wa mumeo
3. Wakati wa tendo unatakiwa akishamwaga, wewe uanze kuvuta korodani zake taratibu pasipo kummumiza ili kumrejeshea uwezo wake. Fanya hivyo kila anapoonekana kuchoka.
4. Ajitahidi sana kutumia maji kila baada tendo moja.
5. Mjengee kujiamini na kumtia moyo wakati wa tendo la ndoa.
^^
 
Umekwama mlimani.....sio tutani

Ukiangalia mlima bado ni mrefu do kwanza umeanza kuupanda.

Jikaze uupande mlima na ushuke mabonde.

Kama vip na ww goma kumnyonya corn yake.
Inaonyesha jamaa anawahi kukojoa ...ukigoma kumnyonya
Nafikiri itakuwa ni kiashilio kimoja .
 
....."nilivumilia kwani nilihitaji kuolewa na nikajua ntamrekebisha tukikaa wote ata-Improve lakini ndio amerudi Nyuma kiasi kwamba...."
Na hapa ndio tatizo lilipoanzia. Yaani uliitamani ndoa kiasi cha ku-ignore tatizo ukijipa moyo kuwa utamrekebisha???? Pole sana mdogo wangu na kemea sana hilo pepo linalokukumbushia boyfriend.
Nadhani uliona nilipoona mimi jambo la ajabu ni kwamba mtoa mada alitaka kuolewa tu. hakuwaza kuwa huyo mume atamtimizia mahitaji yake , ilaa amenipa somo yani kunyonya hyo papuchi hapana hata mimi sikubali utampa mwenzio fungus, And then umelazimisha ndoa kwa utashi wa akili zako hukumkaribisha Mungu kwenye ndoa . Usipokuwa makini itavunjika muda si mrefu kwakuwa pepo lipo hapo nakuthibitishia tena unalo . Ushauri wangu kwako kaeni wote mrekebishe kasoro zenu
 
Back
Top Bottom