mpalu
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,521
- 870
Wakuu kuna hili tatizo linalotupata baadhi ya watu ambapo kovu huendelea kuongezeka baada ya kidonda kupona na kuwa uvimbe.Hasa makovu ya mabegani,mashavuni,kifuani. Makovu haya wakati mwingine huambana na muasho na maumivu.Na mara nyingi ukifanya upasuaji huwa zinarudi tena. Kwa anayefahamu tiba yake au mtaalamu anayetibu msaada please!