Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,929
Habari zenu wapendwa,
Jaman nina wifi yangu hapa amepatwa nna hali ya ajabu amenishirikisha ila na mie mshamba kwa hili hata siielewi kitu nimeamua kuliwahisha humu ili mtuusaidie!
Ameolewa mwezi januari na hakuwahi kutumia dawa za uzazi wa mpango na wakawa wanafanya siku zote bila kuepuka siku za hatari lengo lao ikiwa ni kupata mtoto,cha kushangaza mimba iakawa haishiki na anapata period km kawaida,
Wakajipanga mwezi uliopita wa saba wafanye siku sahihi za kushika mimba,kwa maelezo yake wakafanya siku ya 11,13 na 14 na kweli mezi mzima wa saba hakupata period akawa kafurahi akijua kanasa cha kushangaza tarehe 3.8.12 ikiwa ni siku ya 38 akaamua kupima kuhakikisha km kweli kanasa majibu yakawa hana mimba ile hali na period hakupata!
Akiwa bado anatafakari gafla jana tarehe 7/08/12 period ikaanza na maumivu yale yale km ya siku zingine anapokua period,sasa amechanganyikiwa na hali hii ambayo hajawahi kukutana nayo hatuelewi ni ugonjwa au ni hali ya kawaida ambayo hua inatokea au ni dalili za kuwa na matatizo ya kupata ujauzito au ni nini hiki!
Msaada tafadhali kwa madokta na wenye ufaham wa hili,
Nawasilisha.