Kuna ndugu yangu alifanya maamuzi fulani yaliyopelekea kumletea matatizo na akapitia kipindi kigumu sana.
hali iliyopelekea kuwa na mawazo kupita kiasi.
Sasa akiwa katika kipindi hicho kuna siku alihisi kama vitone vya maji vinamwagika kichwani mwake na vikawa vinashuka mpaka kwenye paji la uso.!
Kuanzia siku hiyo kadri siku zilipokuwa zinasogea akaanza kuhisi misuli ya uso inavuta na kuachia, watu wakaanza kuhisi labda alirushiwa sijui uchawi ikabidi akapambane kweny maombi wapi, hali ikaendelea kuwa mbaya tu.
Akajaribu kwa waganga napo hamna kitu, akienda hospitali wakipima hawaoni ugonjwa wowote.
Sasa hivi hali imekua mbaya zaidi maana imefikia hatua kuna muda midomo yake inatetemeka kwa kucheza cheza yenyewe tu.
hasikii maumivu ila hiyo hali inamnyima raha na kumfanya awe mtu wa kukaa peke yake tu. Hapendi kuchangamana na watu sababu ya hali hiyo.
Nimeleta humu pengine kuna wajuvi wanaweza kuwa wanaelewa tatizo ni nini? Na linaweza kutibiwa wapi
Ahsanteni wakuu