BiMkubwa
JF-Expert Member
- Jan 9, 2007
- 529
- 97
kwa wanajamiiforums wote,
Ninahitaji clips chache za taarifa ya habari inayosomwa kwa kiswahili yaani kutoka katika televisheni za Tanzania. Iwe ya kipindi chochote cha nyuma au hata za hivi karibuni. Ningependelea zaidi TV clips. Sina preference iwe ITV, StarTV, Channel TEN au TBC.
Nimejaribu kutazama jumpTV naona Tanzania imejiodoa kwenye list. Kama kuna online resources zozote zile ninaomba mwenye kufahamu anielekeze jinsi ya kuzipata. Nimetazama east african tube kuona kama wanazo naona hawana, nimejaribu you tube pia naona hamna.
Your assistance will be greatly appreciated.