Msaada tafadhali,zuia uhalifu

MWENDAKULIMA

JF-Expert Member
Jul 17, 2009
952
354
WanaJF naombeni msaada wenu.Rafiki yangu ameibiwa vitu mbalimbali jana usiku nyumbani kwake maeneo ya Kurasini hapa Dar.Katika vilivyoibwa kuna nyaraka muhimu kama birth certificates (yake na za watoto),passport, laptops mbili aina ya dell D latitude 520, dell D latitude 620 na external hard disk yenye ukubwa wa 320GB.Tafadhali wanaJF popote utakaposikia au kuona vitu hivyo (laptops,hard disk) vikiuzwa usinunue bali tuwasiliane kwa number 0756363007,0768491752,0713920881 na 0713491752. Naamini vinaweza kusaidia kupatikana kwa hizo nyaraka muhimu. Natanguliza shukrani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom