Msaada tafadhali kuhusu Dstv

successor

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
3,078
6,123
Wakuu,

Nimelipia Dstv decoder ikiwa imezimwa, nilipoiwasha ikawa haiko activated...naomba msaada kama kuna jinsi ya kufanya maana niko mbali na ofisi zao. Na nikiwapigia namba yao haipatikani.

Ahsanteni.
 
Weka chanel namba 200 halafu iache bila kuizima.utaona imefunguka yenyewe hata kama itachelewa
 
Waandikie kwenye Facebook mkuu wapo very sharp kujibu kuliko kupiga simu............wape customer number yako.......then waeleze tatizo........mara moja ndani ya dk 5 unajibiwa.........
 
Nami naomba msaada mwepesi. Sasa hivi nipo hapa Mwenge Bamaga barabara ya Alli Hassani Mwinyi. Nataka nifike ofisi za Multichoice ku update details za decoder yangu. Kuna umbali gani na kuelekea upande gani?
 
...nyooosha mguu,vuka mataa ya moroco, neenda mpaka mataa ya st peter, baada ya kituo cha mafuta cha gapco kama sikosei utaziona ofc zao mkono wa kushoto.....
 
Wakuu,

Nimelipia Dstv decoder ikiwa imezimwa, nilipoiwasha ikawa haiko activated...naomba msaada kama kuna jinsi ya kufanya maana niko mbali na ofisi zao. Na nikiwapigia namba yao haipatikani.

Ahsanteni.

Kumbe na hawa jamaa wana matatizo yao poleni, 150k uwape bado waringe, ya vocha kuwapigia wanakurudishia?
 
Waandikie kwenye Facebook mkuu wapo very sharp kujibu kuliko kupiga simu............wape customer number yako.......then waeleze tatizo........mara moja ndani ya dk 5 unajibiwa.........

Nashukuru
 
Kumbe na hawa jamaa wana matatizo yao poleni, 150k uwape bado waringe, ya vocha kuwapigia wanakurudishia?

Mkuu, hakirudishwi kitu, unatumia pesa yako lakini bado namba haipatikani...ni kero tupu ndugu yangu.
 
hii chini mimi ndio natumia kila mara maana nabadilisha sana package so kuactivate lazima ni wapigie ...
0768 98 88 00

AU SMS RESET UNAACHA NAFASI WEKA NAMBA YA KADI TUMA 15727
 
Back
Top Bottom