Inawezekana nazeeka haraka......natatizwa na maneno......"kanga moko tepe tepe laki spesa njoo uone kanga inavovaliwa" yapo kwenye tangazo clouds sielewi wanainadi bidhaa gani au wanamaanisha nn
haaa rejao umejuaje km wachafu au.............................hahahahahahahaaaakanga moko ndembe ndembe..laki si pesa!!hii kitu ina raha kama ndio unaona kwa first time!! Baada ya hapo inaboa!! Kwanza wanawake wenyewe wachafuuu!!
hii ya waume zaidi....napita jamani
Inawezekana nazeeka haraka......natatizwa na maneno......"kanga moko tepe tepe laki spesa njoo uone kanga inavovaliwa" yapo kwenye tangazo clouds sielewi wanainadi bidhaa gani au wanamaanisha nn
hii ya waume zaidi....napita jamani
Aaaa ndio nimetoka YouTube anyway nimeona mashabili wengi ni akina mama. Otherwise nashukuru kwa mchangiaji.Nadhani kanga moko- inamaanisha kanga moja, ukitaka kuona jinsi inavyovaliwa nenda sasa huko Clouds wanakotangaza watu waende. Vinginevyo nenda youtube.com andika kanga moko ndembendembe ujionee mwenyewe kanga inavyovaliwa...
Mwenyeji huyoo!haaa rejao umejuaje km wachafu au.............................hahahahahahahaaaa
Huu ni uchangudoa uliohalalishwa,jiulize wanaume tukajifunze kanga inavyovaliwa ili iweje kama si kwenda ''kununua''?Nadhani kanga moko- inamaanisha kanga moja, ukitaka kuona jinsi inavyovaliwa nenda sasa huko Clouds wanakotangaza watu waende. Vinginevyo nenda youtube.com andika kanga moko ndembendembe ujionee mwenyewe kanga inavyovaliwa...