Msaada tafadhali...kanga moko

Marumeso

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,410
1,313
Inawezekana nazeeka haraka......natatizwa na maneno......"kanga moko tepe tepe laki spesa njoo uone kanga inavovaliwa" yapo kwenye tangazo clouds sielewi wanainadi bidhaa gani au wanamaanisha nn
 
Kitu cha india tena moko, halafu ndembendembe!
Utaulizia nauli ya tanga.
 
Kanga moko ndembe ndembe..laki si pesa!!
Hii kitu ina raha kama ndio unaona kwa first time!! Baada ya hapo inaboa!!
Kwanza wanawake wenyewe wachafuuu!!
 
Inawezekana nazeeka haraka......natatizwa na maneno......"kanga moko tepe tepe laki spesa njoo uone kanga inavovaliwa" yapo kwenye tangazo clouds sielewi wanainadi bidhaa gani au wanamaanisha nn

Nadhani kanga moko- inamaanisha kanga moja, ukitaka kuona jinsi inavyovaliwa nenda sasa huko Clouds wanakotangaza watu waende. Vinginevyo nenda youtube.com andika kanga moko ndembendembe ujionee mwenyewe kanga inavyovaliwa...
 
kanga moko ndembe ndembe..laki si pesa!!hii kitu ina raha kama ndio unaona kwa first time!! Baada ya hapo inaboa!! Kwanza wanawake wenyewe wachafuuu!!
haaa rejao umejuaje km wachafu au.............................hahahahahahahaaaa
 
Inawezekana nazeeka haraka......natatizwa na maneno......"kanga moko tepe tepe laki spesa njoo uone kanga inavovaliwa" yapo kwenye tangazo clouds sielewi wanainadi bidhaa gani au wanamaanisha nn

Ni stail tu ya kutafuta hela hapa mjini!
 
Nadhani kanga moko- inamaanisha kanga moja, ukitaka kuona jinsi inavyovaliwa nenda sasa huko Clouds wanakotangaza watu waende. Vinginevyo nenda youtube.com andika kanga moko ndembendembe ujionee mwenyewe kanga inavyovaliwa...
Aaaa ndio nimetoka YouTube anyway nimeona mashabili wengi ni akina mama. Otherwise nashukuru kwa mchangiaji.
 
inapigwa kanga moja nyepesi alaf ndan akujavaliwa kitu.. watoto nyonga teketeke lainiiii km mafuta.duh,ucpme ndugu yangu ndio mambo yangu ayo...ucjalibu ukianza uachi
 
Nadhani kanga moko- inamaanisha kanga moja, ukitaka kuona jinsi inavyovaliwa nenda sasa huko Clouds wanakotangaza watu waende. Vinginevyo nenda youtube.com andika kanga moko ndembendembe ujionee mwenyewe kanga inavyovaliwa...
Huu ni uchangudoa uliohalalishwa,jiulize wanaume tukajifunze kanga inavyovaliwa ili iweje kama si kwenda ''kununua''?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom