MWananyati
Senior Member
- Feb 3, 2011
- 160
- 53
Wadau, Salamuni.
Kama nilivyoainisha kwenye somo, ningependa kujua basi bora la kwenda Mwanza. Natokea Dar.
Kama nilivyoainisha kwenye somo, ningependa kujua basi bora la kwenda Mwanza. Natokea Dar.
Asante mkuuPanda Dar Luxy mkuu wako vizuri sana
Dar Lux hivi wanaenda mikoa mingapi??Panda Dar Luxy mkuu wako vizuri sana
SitakiPanda Kalia kitu
Mmh Zuberi! lazima alale shinyangaZUBERI
Hapana huwa lazima wafike ila saa saba ukipenda unalala pale pale nata mara zote huwa tunafika ila zuberi siti wamebana sna kama mrefu kuna ka adhabu kidogo dar lux kwa sasa wako poa ila ndio ka buku tano huongezekaMmh Zuberi! lazima alale shinyanga
Panda Kisbo au Kidia One
Mie nilisafiri na kibo kama three weeks basi lilikuwa poa sana, hatukuachana sana kufika na Dar Lux na KisboHapana huwa lazima wafike ila saa saba ukipenda unalala pale pale nata mara zote huwa tunafika ila zuberi siti wamebana sna kama mrefu kuna ka adhabu kidogo dar lux kwa sasa wako poa ila ndio ka buku tano huongezeka
Sijawahi kutumia kibo mara nyingi natumia kisesa zuberi dar lux japo kisesa kwa sasa naona kama hawapo nitaliangalia na hilo siku moja by the way kuna ka offer ka fast jet kama una safari ya december unaweza kuwachekiMie nilisafiri na kibo kama three weeks basi lilikuwa poa sana, hatukuachana sana kufika na Dar Lux na Kisbo