Msaada Solar na kidhibiti chaji

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Jamani naombeni msaada kwa wanaofahamu ni mahesabu gani yanayotumika kutambua kiwango gani cha AMP zinazotakiwa kuendesha ukubwa wa solar kulingana na na WATTS zake
mfano: solar ya watts 50=kidhibiti chaji=
solar ya watts 80=kidhibiti chaji=
solar ya watts100=kidhibiti chaji=
Naombeni msaada wenu jamaaanj
 
Kidhibiti chaji=inverter?
Kidhibiti chaji=charge controller?
Kidhibiti chaji=regulator?
Kidhibiti chaji=sine inverter?
Kidhibiti chaji=battery charger?

Fafanua tafadhali
 
Jamani naombeni msaada kwa wanaofahamu ni mahesabu gani yanayotumika kutambua kiwango gani cha AMP zinazotakiwa kuendesha ukubwa wa solar kulingana na na WATTS zake
mfano: solar ya watts 50=kidhibiti chaji=
solar ya watts 80=kidhibiti chaji=
solar ya watts100=kidhibiti chaji=
Naombeni msaada wenu jamaaanj

fanya hivi solar panel ya watt 100 zidisha mala mbili jibu lake ni betri N200 kisha hiyo 200 igawe kwa 17.5 jibu lake ni kizibiti chaji ambayo ni 11.4 mfano panel 42*2=betr,gawa 17.5 jibu ndo chgng conj
 
Jamani naombeni msaada kwa wanaofahamu ni mahesabu gani yanayotumika kutambua kiwango gani cha AMP zinazotakiwa kuendesha ukubwa wa solar kulingana na na WATTS zake
mfano: solar ya watts 50=kidhibiti chaji=
solar ya watts 80=kidhibiti chaji=
solar ya watts100=kidhibiti chaji=
Naombeni msaada wenu jamaaanj

mahesabu ya hapo ni 50x2=100 gawa kwa 17.5=charging control
 
Hiyo 17.5 ndiyo nini[/I]? Inatokana na nini?
mkuu nadhani hapo pana hitaji muda zaidi.nilichokifanya mimi ni kujaribu kujibu kile ulichokuwa unahitaji kusaidiwa. kwa ufupi hiyo hesabu ni fomula tu.ni sawa na fomla zingine za ki ufundi.mfano huwezi kufunga motor katika mashine bila kupiga hesabu mf mota ina rpm kadhaa na unahitaji kinu kizunguke mala ngapi ni hayo tuu.
 
Back
Top Bottom