Msaada simu yangu ina tatizo.

Isaack Newton

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
535
224
Habari wakuu,,!
Jamani simu yangu inatatizo gani maana kila niki download kitu chochote nikitaka kukifungua inaniambia "File format not supported" ni simu aina ya Nokia ashia 303. Najua kuna wataalamu wengi sana humu jamani nisaidieni maana nime download Pdf haifunguki.
 
Back
Top Bottom