MSAADA:Simlock block unlock reset key ya HUAWEI IDEOS U8150-D

BAOSITA

JF-Expert Member
Nov 2, 2011
368
188
Wadau naomba msaada wa key za hiyo IDEOS,kuna mtoto aliichezea simu sasa nikiiwasha inadai key za hiyo kitu na nikibofya DISMISS network inakuwa haishiki!
 
hii inahitaji more technical aspect kwa ni unlock up moment iko supported kwa box/dongle moja ju DCUNLOCKER no free solution to date hivo onana na specialist watakusaidia na hutumia logs/credits

frostwire, descargar ares, ares
 
Dah!Nimeingia cha wanawake!
Thanks mkuu
---Believdat---
 
Wadau naomba msaada wa key za hiyo IDEOS,kuna mtoto aliichezea simu sasa nikiiwasha inadai key za hiyo kitu na nikibofya DISMISS network inakuwa haishiki!

Je, unataka upya IDEOS yako huawei U8150? Kwanza unaweza kutembelea tovuti hii Onlinegsmunlock.com hapa unaweza kupata upya kanuni na upya IDEOS yako huawei
 
Back
Top Bottom