Msaada sehemu ya Kufanya mazoezi kwa vitendo-Uhasibu

FORWARD

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
740
291
Habari, nina mdogo wangu anatafuta sehemu ambayo atapata mafunzo kwa vitendo mchepuo wa Uhasibu. Natanguliza shukrani.
 
Mafunzo kwa vitendo bila shaka utakuwa unamaanisha Field Placements na sio Internship maana kwa ulivyoaandika inaonyesha huyo ndugu bado yuko shuleni,Nikushauri ajaribu kupeleka pale Tanesco hiyo barua yake ya Field mara nyingi huwa wanachukua bila ubaguzi na kama ni Internship basi ajitahidi kuandaa Cv yake then adondoshe kwenye firm kadhaa japo huwa ina kuwa na magumashi anaweza akapata.
 
Back
Top Bottom