komredi ngosha
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 382
- 71
Ndugu, kwa wale wajuzi wa Visual Basic nahitaji kufanya project ya chuo kwa kutumia hiyo language. Naomba mnisaidie title, shukrani !
Ndugu, kwa wale wajuzi wa Visual Basic nahitaji kufanya project ya chuo kwa kutumia hiyo language. Naomba mnisaidie title, shukrani !
Rudia mwaka utakuwa na akili za kutosha kujua Tiitle
Tengeneza simple Library system, una vitabu na una users, user anaweza kuchukua na kurudisha vitabu, unaweza ukaweka vitu kama limit ya vitabu vingapi user anaruhusiwa kuchukua kwa wakati mmoja, limit ya siku ngapi unaruhusiwa kukaa na kitabu, faini kama muda ukiongezeka etc. Inaweza kutuma email/SMS kumkumbusha user arudishe vitabu etc.
projects zote kama hii za management zinakataliwa, pia hawataki web based projects. Nimeshapeleka mara 2 na kukataliwa, last time wamenishauri nitoe title ktk IEEE ambapo binafsi nikizisoma hata sielewi