Msaada plz

pitbull

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
592
178
Wakuu nimechaguliwa bachelor of arts in african studies vp embu niambieni unaweza kufanya kazi gani?
 
Wakuu nimechaguliwa bachelor of arts in african studies vp embu niambieni unaweza kufanya kazi gani?
nikushauri tu kitu..kabla ya hapo jib hil..kwan ulivyokua unachagua programs uliijaza na kama ulijaza utajazaje kitu ambacho hukijui??
HIYO NI MOJA..TWENDE KWENYE MBILI..
kwa sababu ishatokea..ni vyema pia ukaenda google naiman utapata majibu mazuri tu..maana humu jf unaweza kata hata tamaa ya kuisoma..
unaweza pia tafuta watu waliosoma iyo kitu (hasa utapokua chuo) naiman watakusaidia zaidi...zaidi sana na kwa uelewa wangu(japo mdogo) naona kama ina relate sana na maswala ya tourism,heritage and the alike!!!! ABOVE ALL HONGERA KWA KUCHAGULIWA...
 
Sina cha kuchangia hapo ila Duuuu!! Kiafrikana zaidi hongera mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom