Msaada: Orodha ya majina waliochaguliwa diploma ualimu

Poba Crew

Member
Jul 14, 2013
23
2
Naomba msaada,nimeshindwa kupata orodha ya majina ya waliochaguliwa ualimu diploma kwenye hii second selection ambayo wameyatoa Nacte tarehe 31 march,kwaio naomba aliyeona aorodheshe nami niweze kuyaona,waweza orodhesha apa au nitumie kwnye email yangu hii Prosperlucas21@gmail.com. Nawaombeni sana wana Jf
 
Naomba mniwekee majina ya,watu waliochaguliwa kujiunga na diploma ualimu second selection march intake
 
Nimeshindwa kuyapata au kuona majina ya watu ambao wamechaguliwa diploma in education second selection ambao NACTE wametangaza mnamo 31 march,kwaio tafadhari ambaye amefanikiwa kuona naomba anirahisishie nami niweze kuangalia,anaweza kuniorodheshea apa au ukanitumia kwnye email yangu ambyo ni Prosperlucas21@gmail.com. tafadhli nna shda nayo sana
 
Hivi naweza,soma mtaani af nikaenda kufanya mtihani wa kidato cha sita kwa cbg? Mana mi naona km inakuwa vgumu hasa kwenye ishu ya practicals,kweli nikafanya na kufahuru vzuri? Na inatakiwa nipate tuition ya aina gan kulifanikisha zoeli hilo? Wazoez naomben mchango
 
mkuu hiyo kombi sio ngumu kihivyo ila kama uko dsm kufaulu ni lazima ila juhudi nazo zinahitajika soma mahali kama mchikichini wanafndisha mpk practicals mkuu
 
Back
Top Bottom