Naomb kukuulza,hii na ile ya Kaspersky..unaweza zitofautishaje kwa ufanisi wao? Thanks in advance ndugu yangu.
THE BEST ANTIVIRUS OF ALL TIME NI MOJA TU : Kuwa makini na computer yako!! Thats all...kwa wanaonielewa watajuaa namaanisha nini!! unaweza kutumia gharama kubwa kununua na ku update antivirus za ghali afu pc yako unaitupatupa ovyo tu...unakuta screen ina ma alama ya vidole, vumbi limejaa mpaka alama za vidole kweny keyboard vinaonekana, kila flash inaingia tu kwenye pc yako, unakusanya na maprogram hata huyajui unainstall kisa na wewe una pc, unatembelea website imekwambia kabisa si nzuri we unaenda tu....hakika hata antivirus zoooote zikiunganisha nguvu na kuziweka kwenye pc yako bado HAITADUMU! Ulinzi wa PC siku zote unaanza na matunzo unayoipa!!! AM telling you ukiweza hivyo wala hutapata presha ya antivirus gani uweke maana antivirus zoote duniani zinafanya kazi inayolingana, zaidi ya hapo ni ushindani wa kibiashara tu!!
Kwa kumalizia ..mi natumia Microsoft Security Essential..na nimeanza kuitumia hii mda mrefu tu na kwa principle nilizonazo kwa pc yangu(haswa hii laptop, maana nna dektop pia) hata nisingeweka antivirus bado nisingekuwa na wasi!! Ila hilo li dektop kutokana na matunzo nnalolipa...kila siku na update antivirus lakini ma virus kibao maana kila mtu analitumia nanvyojua yeye..unakuta li flash limechomekwa ukiliangalia sura tu...lah!!
Hii Avast niliipenda kipindi fulani, lakini baadae nilikuja kuiwekea kwa makusudi flash yenye virus then nikascan, lakini ikaonyesha no virus was detected. Hata baada ya kuupdate sio ya kuaminika sana. Pia usafishaji wake hauaminiki, huwa inabeba na mafailiAvast ndio mpango wewe...