Msaada: Ndugu yangu amepoteza cheti cha kidato cha nne

Dalton elijah

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
208
462
Ndugu Yangu Amepoteza Cheti cha Form Four Ambacho Alitakiwa Kwenda Chuo Lakini Ameshindwa.

Nauliza Kama kutakuwa Na Njia Mbadala Ambayo ataweza Kutumia Ili Kupata Hicho Cheti.

Na Njia Gani Ambazo Anaweza Tumia Ili Cheti Kupatikana.

Napenda Kuwasilisha Mawazo Yangu.
 
Back
Top Bottom