Msaada: Naweza kusoma kozi ya Nursing Assistant kama nimesoma tu Biology bila masomo mengine ya Sayansi?

SIPRITE

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
499
65
wanajamvi ivi kama mtu hajasoma masomo ya sayansi anawaza kusoma kozi ya nursing assistance kama bios kafaulu? na ni vyuo gani msaada please natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada wako
 
Hapana wanahitaji chemistry,physics na mathematics kwa medical attendant imefutwa siku izi
 
wanajamvi ivi kama mtu hajasoma masomo ya sayansi anawaza kusoma kozi ya nursing assistance kama bios kafaulu? na ni vyuo gani msaada please natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada wako
Unaweza ukasoma community health ya mwaka mmoja ila unatakiwa kuwa na D tano ikiwemo ya biology
 
wanajamvi ivi kama mtu hajasoma masomo ya sayansi anawaza kusoma kozi ya nursing assistance kama bios kafaulu? na ni vyuo gani msaada please natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada wako

Nursing assistant na medical attendant zimefutwa ipo
Community health
Jibu ni ndiyo unaweza kusoma kwa hii kozi maana wanahitaji angalau D NNE ikiwepo ya biology hayo mengine chemistry na physics siyo ya lazima ata mwana arts pure anasoma tu ili mladi biology awe amefaulu
 
Inahusu nn
VP mbeln naweza ingia maybe nursing via hiyo C.H
 
Yeah anaweza
Maana anapiga mpaka kazi za nursing pia
Kama RCH na CTC endapo akipangwa hospitali au zahanati au kituo cha afya lakini pia ni mhudumu wa afya ngazi ya jamii mnawaita bwana/bibi afya
Kwa kifupi anaweza kazi popote pale iwe hospitality/kituo cha afya /zahanati nk
 
Back
Top Bottom