A manfrmanotherworld
Member
- Oct 7, 2014
- 9
- 0
Habari wadau,
Naomba msaada namna ya kuwa freelancer wa Tigo, maana nimechoka kukaa kijiweni. Mwenye uelewa anijuze nifanyeje.