Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

Hii hali hutokea tu, sijawai kumtamani mwanaume mwenzangu lakini, siku moja nipo darasani nilimuona mwanafunzi akiwa amekaa nilimtamani sana, sikujua kama ni me! Nilivokuja kumuona tukiwa nje ndo nikagundua ni me lakini bado namtamani! Mimi napendaga macho, yeye anamacho mazuri saana! Mnisamahe ndo nimeamka sasaivi.
 
Hii hali hutokea tu, sijawai kumtamani mwanaume mwenzangu lakini, siku moja nipo darasani nilimuona mwanafunzi akiwa amekaa nilimtamani sana, sikujua kama ni me! Nilivokuja kumuona tukiwa nje ndo nikagundua ni me lakini bado namtamani! Mimi napendaga macho, yeye anamacho mazuri saana! Mnisamahe ndo nimeamka sasaivi.

Love is love
 
Mkuu maendeleo yako yapo vipi hadi sasa?

Pole sana wapo watu wanabeza hapa bila kujua utofauti na vichocheo vya hizi hali.

Kwa haraka haraka nadhani umewahi kukutana na unyanyasaji utotoni au umewahi kuwa exposed kwenye mazingira ya namna hiyo. Na hilo ndio limekusababishia iyo hali.

ila believe me wewe ni straight kabisa ila ni unatafuta kuprove vitu fulani fulani kuhusu manhood mbaya ni kuwa unataka mtu akuingilie ili uprove manhood ilivyo na uexperience kabisa. Haya mambo magumu ila wote ndio tujifunze hapa.

Kwa hiyo mkuu WARNING, usijaribu kabisa kuingiliwa itakuharibu kabisa maana utakuwa exposed kwenye kitu utakachoona kinakupa relaxation na hali yakuona kama umetimia kwa hito utaitafuta hito hali tena na tena mwishowe ndio utakuwa "mchicha mwiba"

Chakufanya, tafuta mwanamke ambaye labda kwao yeye pekee ndio wakike yaani ana kaka zake au mwanamke aliye active sana kwenye sex hawa wataweza kukurudisha kwenye hali ya kawaida ukaisahau hiyo desire ya kutaka kuiona manhood ilivyo.

Ni hayo tu mkuu.
Huu ushauri ni bora kabisa
 
Nyie mbona mnahangaika kumshauri mtu ambaye tayari kashafanya uchaguzi na pia inaonekana anapenda dudu zaidi ya mbususu
 
hakuna kitu kama KWANINI NIKO HIVI, AU IMETOKEA NINI NIKAWA HIVI. I think you should think of the positives about yourself!!

Hakuna mchawi, wala historia ya jinsi ulivyo, au ulivyotokea kuwa.

Nadhani hivyo ndivyo ulivyo, na ndivyo inavyokufanya wewe, na wewe pekee tofauti na wengine.

I think you are beautiful. Kuna haja siku za mbeleni, "endapo" ufahamu wa watu ukaongezeka, tukafundisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondari juu ya maswala ya jinsia na ujinsia.

Tusiishie kwenye uanamke na uanamume, tupanue maarifa na kujifunza abnormalities zinazotokea katika jinsia za watu.

Kutoa matusi na kujifanya kuwa jambo fulani halipo ama halitakiwi kuwapo ni sawa na mbuni anayedumbukiza kichwa mchangani na kukiacha kiwili wili nje.

I think you got to love yourself, and enjoy your life.
Unajua kuna watu wana stimu za kula watoto wadogo, kuua wanapojisikia etc. Should we stop condemning these too, and accept them as normal abnormalities within the society?!
 
Kuna wakati busara kama zako zinakuwa na maelezo potofu sana kwa jamii. Maana umeishia kulaumu na kutaka watu tujifunze jinsia na jinsi na sio wanawake na wanaume, kuna mambo ya msingi ambayo tunatakiwa kutlyajua kabla ya kuhalakisha mambo yasiyo ya kawaida kwa hoja za kawaida. Huyu anatamani wanaume na wanawake. Anatamani wanawake kufanya nao (Ngono) je tamaa ya wanaume ni Yeye afanyiwe ngono na mwamume mwingine kwa jinsi alivyomfanyia mwanamke au yeye amfanyia mwamume kama alivyomfanyia mwanamke.maana tamaa inayosemwa hapa ni ya ngono na sio vinginevyo
Kwa kuwa hata ambao ni wanaume tunawatamani wanawake lakini sio kwa minajali ya kuwa kila mwanamke unataka ufanye naye ngono na hakuna kanuni ya kutamani na kufanya ngono
Let us be serious on this
Umeongea kimafumbo sana be straight, unataka kusema jamii ya mwafrika especially mtanzania ianze kukubali kuwa na wanajamii ambao wanashiriki same sex intercourse, for what ultimate goal of the society?!
 
sifikirii kuwa homosexuality, bisexuality, au sexuality yoyeto nyingine ni ugonjwa unaohitaji tabibu.

Kwanini unadhani ni ugonjwa kupenda?
Abnormalities zote za kitabia si za kuachia zijiendelee tu. Madhara yatakuja kuathiri jamii.

Hii ni shida ya kimakuzi na kama tukimtafiti hapa huyu subject utakuja kugundua kuwa ana some sort of childhood trauma. I bet you that.
 
sidhani kama anahitaji " cure".
Infact, there is no cure.

Yupo katika stage ya ku-struggle na uhalisia wa hisia zake.

Anajaribu kupambana na hali yake ya kuvutiwa na watu wa jinsia yake.

Kuna mengi kuhusu hilo, huenda kutokana na mgandamizo hasi kutoka kwa watu wa karibu yake, hofu ya kugundulika, wasiwasi juu ya vitabu vya dini, mashaka nk.

Mwisho wake anageuka kichaa.

Hawezi kupona, isipokuwa kujipenda na kuikubali hali yake.
Are you gay?!
 
Mambo yasiyo ya kawaida ndio yapi, na tafsiri juu ya kawaida na isiyo kawaida umeiweka katika upeo upi??

Ili kitu kiwe cha kawaida kinapaswa kuwa na sifa zipi na / kitu kisichokuwa cha kawaida kinapaswa kuwa na mapungufu yapi?

Hata watu weusi wanafanywa kujisikia sio wa kawaida katika nchi za watu weupe, kwahiyo ni kweli wao si wa kawaida??

kuwa kawaida ndio kupi?
Ni vema ukaelewa mambo from the perspective of nature na sio vile wewe unapenda iwe au unahisi inatakiwa kuwa. You seem ignorant when it comes to the knowledge about animal kingdom, humans to be specific and purpose of sexuality difference.
 
Mimi sio homophobic!!!
Ila kwa jamii hii kua homosexual ni kujitesa bureee! Utaishi kisiri sana na ukijulikana utadharaulika. Na vijana wengi waliokua wakiona mambo haya ni kawaida kupata hizo hisia ila haimaanishi ndo uipe nafasi, inakua ni phase tu...
Kwanini ujitese na yote hayo wakati una uwezo wa kuenjoy jinsia wanawake?
Hauhitaji kuombea msamaha kuongea ukweli. Ipo hivi , hii ni shida ya gender identity development kwenye akili. Muhusika amestuck katika ile hatua ya mimi kama mwanaume au mwanamke natakiwa kuperform nini na nini?!

Hii si unaona hata katika mahusiano, mwanamke anampanda mwanaume kichwani sababu alilelewa na mama tu na hakuona mama akiishi na baba yake so hakujua namna ya kubehave na mwanaume.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom