Usajili wa NGO's online umekuwa tatizo. Msaada tafadhali

rizentrape

New Member
Feb 18, 2024
2
0
Habari ndugu zangu?
Naomba msaada katika hili,
Nimeanza usajili wa NGO's online lakini website (nis.jamii.go.tz) wizara inasumbua sana,,
kwenye kutengeneza akaunti inakubali ila kuthibitisha email ili kuendelea inakata, inaleta " Oops! An Error Occured"

HATUA NILIZO CHUKUA
1) Kumuuliza Afisa Maendeleo jamii, akasema👉🏿 hapo ndio mwisho huwezi endelea zaidi mfumo unashida lakini yeye anaweza malizia kwa kuwasiliana na watu wa wizara nimlipe laki 3.

2)Kutembelea wataalamu wanaohusika na sajili mbalimbali, walichosema👉🏿 nitoe pesa mwingine laki 6, mwingine laki 4 nk.
OMBI LANGU KWENU

Najua hapo ni wataalamu ,, nahitaji kukamilisha hii kazi kwa msaada wenu.

Ahsante MUNGU awabariki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom