Msaada: Nahitaji mtu wa kujitolea kunifundisha kuendesha gari

Au kama kuna mtu anaweza kunilipa driving kwa jioni nkishatoka kibaruani naingia tunaweza weka makubaliano kila mwezi ntamlipa kiasi kidogo dogo mpaka hela yake aliyotumia kwa driving and licence itimie
Hizohizo driving schools zinatoa mafunzo kwa muda ulionao.
Faida zake wenzangu walishazieleza hapo juu, yaani ni cheti na leseni.
Uelewe sasa hivi leseni bila cheti cha udereva ni batili.
 
Nenda Kibo driving Arusha, ipo Philips, mtafute mtu anaitwa Innocent, anaweza kukusaidia kusoma kwa kulipia ada kidogo kidogo, ukimaliza utapata cheti
VIpi Intersection, ulimwona huyo Innocent??
Kama bado na hujafanikiwa mwone. Ni mtu muungwana sana atamaliza kiu yako ya kuifunza gari.
 
Mimi nilitumia masaa mawili tu! Tena corolla AE 100 Manual. Ila kama kichwa ni kizito, hata ajifunze mwaka mzima anaweza akaambulia patupu.
Daa! Hivyo vidude vigumu saana aise. Ila vimepotea kabisa. Hata kwenye mitandao ya magari used sivioni
 
Ww ni wa ovyo kabisa,eti kazi yangu natakiwa nijue kuendesha gari

Unafanya mambo kienyeji Sana

Au u ataka kusababisha ajali barabarani

Unashindwa nn kwenda veta

Muone
 
Ni kweli mkuu ndo najichanga changa mkuu ila pia muda wa kukaa driving school ntaukosa ndo mana nataka kujua kwanza then siku nkipata hela naenda chap tu driving school hata within week ntakuwa tayari nshapata cheti
Harakaharaka haina baraka, cheti utapata ila itakuwa hujaiva kwenye udereva

Ajali nje nje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom