Msaada: Nahitaji kengele ya kufunga getini, isizidi laki 2

Mama Edina

JF-Expert Member
Dec 18, 2022
747
1,816
Msaada wakuu, nakereka na hodi na mtu sina mpango kumfungulia. Sasa geti linapogongwa napata wakati mgumu kuacha au kufungua.

Wakati mwingine hodi hizo ni fursa wakati mwingine ni kero na kuzipotezea. Hicho ndicho kitu hasa nataka.

Screen ndogo, kengele kutoka getini kuja ndani kwangu.

Wadau fulani walitaka laki 5 kwangu kwa kengete tu na ka Screen!

Ushauri wadau.
 
Ungekua na bajeti nzuri ningekushauri siku hizi wanafunga automatic gate monitors, mtu akigonga kengele unamcheki tu kupitia screen yaani hata dada wa kazi anakufungulia geti pasipo kufika, anabonyeza tu button ndani geti linajifungua ukipita linajifungu lenyewe

Ila kwa bajeti yako labda ufunge tu vile vikengele sasa ukitaka na screen itabidi uongeze dau
 
Ungekua na bajeti nzuri ningekushauri siku hizi wanafunga automatic gate monitors, mtu akigonga kengele unamcheki tu kupitia screen yaani hata dada wa kazi anakufungulia geti pasipo kufika, anabonyeza tu button ndani geti linajifungua ukipita linajifungua

Ila kwa bajeti yako labda ufunge tu vile vikengele sasa ukitaka na screen itabidi uongeze dau
Asante kwa majibu ya kitaaluma Mr mutuu
 
hujapigwa dada tena hao wa laki 5 wamekupendelea wengi huanzia laki 6
inabdi inunuliwe screen na mashine yake ,,wire, na hela ya ufundi plus bomba kama 600K hv
 
Msaada wakuu, nakereka na hodi na mtu sina mpango kumfungulia. Sasa geti linapogongwa napata wakati mgumu kuacha au kufungua.

Wakati mwingine hodi hizo ni fursa wakati mwingine ni kero na kuzipotezea. Hicho ndicho kitu hasa nataka.

Screen ndogo, kengele kutoka getini kuja ndani kwangu.

Wadau fulani walitaka laki 5 kwangu kwa kengete tu na ka Screen!

Ushauri wadau.
Weka mlinzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom