Msaada: Nahitaji Farasi kwa ajili ya sherehe za ndoa yangu.

Jamani, hata sherehe munataka tutumie Baiskeli au bodaboda?

Hapana kaka..ila Kuku anaatamia mayai anayoyaweza..so jipange ss..kuna mzee mmoja yupo Kiluvyia madukani anaitwa Njiu anawafuga hao farasi..mwanzo mzuri hapo..!!
 
Hongera kaka GAZETI Bwana Arusi Mtarajiwa.
Mie ninafahamuUsafiri wa Ngamia tu kaka yangu ningekusaidia.
Ahsante, dada bado kidogo haya ni maandalizi nayafanya mapema zaidi
ili nisijeanguka kama wale walioshindwa kupiga wimbo wa Taifa pale
NATIONAL STADIUM, Ngamia labda ikishindikana huko kote.
 
farasi weupe?hivi wapo nyumbi hii?
Sina uhakika, hao nimewahi kuwaona kwenye TV, hata hao wasiokuwa weupe
nawaona kwa Polisi tu, labda kutokana na kazi zao wanaogopa wale
Weupe watachafuka hususani wakati wa Ghasia.
 
kupanda farasi ni fun kutazama tu kwenye tv

first farasi wana kelele
wasumbufu...
sio that fun hasa wale wa kukukotwa..
ni full kelele za kwato na mengineyo

Nilijua tu, you had to spoil all the fun out of the topic!!!! Mie nataka PUNDA ila naogopa mateke sijui wanisaidiaje?
 
Sina uhakika, hao nimewahi kuwaona kwenye TV, hata hao wasiokuwa weupe
nawaona kwa Polisi tu, labda kutokana na kazi zao wanaogopa wale
Weupe watachafuka hususani wakati wa Ghasia.

Nenda Coco kaonane na wapiga PICHA ZA HARUSI UFUKWENI watakupa mawasiliano. Na hela ya udalali unigongee like japo 1
 
Nilijua tu, you had to spoil all the fun out of the topic!!!! Mie nataka PUNDA ila naogopa mateke sijui wanisaidiaje?

i enjoy busting people's bubbles lol

punda wa kununua au kukodisha?
punda wapole sana..mateke ni kwa farasi ukiwagusa mkia
 
Wapo na kigari chao mikocheni.. Sema sijui bei yao ikoje.. Ni pm your no nikuunganishe na mtu kesho... Wanatumikaga sana kwenye harusi sema masharti harus yako isiwe na umbali mrefu.. I mean kanisan na reception hall pasiwe mbali.. Mfano may be harus azania front while receptions hyatt or diamond so wanakuzungusha baharin kidogo kule sea view then ukumbini Tena ukiunganisha na team kama I view kwenye picha mbona itakuwa safi zaidi as studio inafungwa pale pale ukumbin or church picture zinapigwa moja kwa moja...
Sitaki wa kukodi, nataka wa kununua.
 
Umewasaidia ndugu zako wenye shida kabla hujaonyesha ufahari wako wa kupanda farasi?
Umemtolea Mungu sadaka halali uweze kupata baraka kwenye ndoa yako?umewasaidia masikini?
Huo ni uamuzi wako au ni shinikizo la upande wa wakwe? waelimishe.

Tafakari Chukua Hatua!
Nimekusoma mkuu. Kwani farasi ana gharama kiasi kubwa sana?
maana hata sijatajiwa gharama hapa.
 
mi nikienda kwenye harusi
first naingia mapema kwenye ukumbi..
so hata maharusi wakija na ndege huwa sioni wala kutoka nje

but yoote fanya,usisahau tu msosi wa kutosha...
na mc mzuri asie boa,na ndugu zako waambie risala ziwe short na time izingatiwe
mbwembwe zikiwa nyingi huku watu wanapiga miayo kwa njaa na kuchoka ina boa hadi basi
Ok, nimekuelewa Kaka.
 
Hapana kaka..ila Kuku anaatamia mayai anayoyaweza..so jipange ss..kuna mzee mmoja yupo Kiluvyia madukani anaitwa Njiu anawafuga hao farasi..mwanzo mzuri hapo..!!
Bei zao zikoje ndugu yangu hata kwa kukadiria tu....
 
i enjoy busting people's bubbles lol

punda wa kununua au kukodisha?
punda wapole sana..mateke ni kwa farasi ukiwagusa mkia

Punda mtu anapatikana, niwe namtwisha tu bills, simshukuru, simjali ila hachoki kunibebea mizigo! (Kama nakuona mzee wa things fall apart ulivokunja sura huku ukisoma hii comment. Tuuuuuuk! Bubble busted! LOL
 
Ingekua fisi ningekuelekeza kakangu, bt Arusha kuna ths place inaitwa Meserani park try hapo unaeza ukapata
 
mi nikienda kwenye harusi
first naingia mapema kwenye ukumbi..
so hata maharusi wakija na ndege huwa sioni wala kutoka nje

but yoote fanya,usisahau tu msosi wa kutosha...
na mc mzuri asie boa,na ndugu zako waambie risala ziwe short na time izingatiwe
mbwembwe zikiwa nyingi huku watu wanapiga miayo kwa njaa na kuchoka ina boa hadi basi

Mimi nipate bia tu
 
Hihiiii KIKWETE at work! Kapanda kitorori na farasi weupe watu mnataka kupanda farasi? Basi na mi harusi yangu ntapanda kibembea kama cha jamaica kile( KIDIN)

on serious note kuna mkuu amemuongelea Dr Njiu ana ranch Kibamba/kiluvya na pia anauza nadhani sio pesa mingi nasikia gharama ni kwenye matunzo
 
Back
Top Bottom