Napenda sana Filamu za kijasusi, huwa sikutani sana na hayo
mambo, ni mawazo yangu binafsi na nikikosa huyo farasi nimekusudia
kutumia ng'ombe wa kigari cha kukokota kama nitakosa huyo nitatumia
TREKTA, yaani nataka nitoke tofauti kidogo.
sipati picha farasi hadi ukumbini? Unless kama ukumbi hauko mbali na kanisa...(kama ni ya kanisani), au toka kwa bi harusi hadi ukumbini
Napenda sana Filamu za kijasusi, huwa sikutani sana na hayo
mambo, ni mawazo yangu binafsi na nikikosa huyo farasi nimekusudia
kutumia ng'ombe wa kigari cha kukokota kama nitakosa huyo nitatumia
TREKTA, yaani nataka nitoke tofauti kidogo.
Napenda sana Filamu za kijasusi, huwa sikutani sana na hayo
mambo, ni mawazo yangu binafsi na nikikosa huyo farasi nimekusudia
kutumia ng'ombe wa kigari cha kukokota kama nitakosa huyo nitatumia
TREKTA, yaani nataka nitoke tofauti kidogo.
ha ha. mama unenikumbusha, naomba hilo pia liingizwe kwenye kamati. mie na nanihii tutakodi ndege halafu baada ya kiapo, tutaruka nje. hakikisheni parachute kitatosha watu 2, pia ongezeni na la cameraman.tamthilia zitatuua jamani lol
hivi serikali haiwezi kuingilia kati uingizwaji wa tamthilia?? Zinaharibu kizazi.
Hadi mwanangu aje aoe naona atataka parachuti.
Anyway, it's ur day!
mi nikienda kwenye harusi
first naingia mapema kwenye ukumbi..
so hata maharusi wakija na ndege huwa sioni wala kutoka nje
but yoote fanya,usisahau tu msosi wa kutosha...
na mc mzuri asie boa,na ndugu zako waambie risala ziwe short na time izingatiwe
mbwembwe zikiwa nyingi huku watu wanapiga miayo kwa njaa na kuchoka ina boa hadi basi
he he he, huna swaga weye
nahisi hujui hata kula kwa vijiti vya kichina.
Habarini waungwana; Nimependa sana kutumia usafiri huo nikiwa na mke wangu
siku ya ndoa. Ninauliza Farasi Hususani wale WEUPE, kama hakuna hata hao
wengine.
1.Wanapatikana wapi?
2. Kwa bei gani?
MSAADA WENU TAFADHALI.
Wasiliana na mamlaka ya hali ya hewa kabisa na hakikisha wanakwambia siku hiyo kutakuwa na mvua kubwa maana itakuwa virceversa yakeHabarini waungwana; Nimependa sana kutumia usafiri huo nikiwa na mke wangu
siku ya ndoa. Ninauliza Farasi Hususani wale WEUPE, kama hakuna hata hao
wengine.
1.Wanapatikana wapi?
2. Kwa bei gani?
MSAADA WENU TAFADHALI.
Sitaki wa kukodi, nataka wa kununua.
tamthilia zitatuua jamani lol
hivi serikali haiwezi kuingilia kati uingizwaji wa tamthilia?? Zinaharibu kizazi.
Hadi mwanangu aje aoe naona atataka parachuti.
Anyway, it's ur day!
Hapa farasi nawaona kwa Polisi na jamaa mmoja anafanya kazi maliasili
nimejaribu kuulizia nimeambiwa kasafiri. Hivi hapa nchini hakuna wanakopatikana?