Msaada: Nahisi mtoto wangu ameathirika na Runinga

Marekani nao walikuwa na shida hiyo ila waligundua kuwa kiwepo chumba cha TV room na chumba cha sebleni kuongea. Shida sisi tunaweka hapohapo sebleni na tunakosa muda wa kuongea na familia kama zamani kikome (moto wa jioni). Chumba cha TV unaweza kujua namna ya kukicontrol.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom