Msaada: Mtumishi anayehama kutoka halmashauri kwenda taasisi iliyopo chini ya wizara nyingine

Dully4real

Member
May 10, 2015
20
13
Hello wana JF,

Hivi mtumishi anayehama kutoka Halmashauri kwenda Taasisi nyingine liyopo chini ya Wizara baada ya kuomba nafasi hiyo kupitia AJIRA PORTAL na akaipata, je huyu akienda kuripoti atapata ile pesa ya kujikumu ya siku 14 kama waajiriwa wanaoanza kazi serikalini au yeye atahesabiwa kama mtumishi aliyepewa uhamisho wa kujiombea?
 
Mi sifahamu, ila kama vipi niganyie mpango nichukue hiyo ulioiacha halmashauri
 
Hello wana JF,
Hivi mtumishi anayehama kutoka Halmashauri kwenda Taasisi nyingine liyopo chini ya Wizara baada ya kuomba nafasi hiyo kupitia AJIRA PORTAL na akaipata, je huyu akienda kuripoti atapata ile pesa ya kujikumu ya siku 14 kama waajiriwa wanaoanza kazi serikalini au yeye atahesabiwa kama mtumishi aliyepewa uhamisho wa kujiombea?
Hapo ni kama umeomba mwenyewe uhamisho, sio wao kukuhamisha
 
Back
Top Bottom