Amoeba
JF-Expert Member
- Aug 20, 2009
- 3,289
- 782
Heshima mbele wakulu, natumia TTCLBB, Lakini mtindo inaonifanyia sijaupenda! nikiwa nadownload file zinashusha fine, lakini baada ya kama dakika 20 hv connection inareset, hivo downloading inakatika mpaka u-disconect na kure-connect tena kisha kuanza upya downloading! najikuta nakula bytes zangu bila tija!! "hang'ap" zimezidi sana, NIFANYEJE?