Msaada,mtindo huu sijaupenda!

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
Heshima mbele wakulu, natumia TTCLBB, Lakini mtindo inaonifanyia sijaupenda! nikiwa nadownload file zinashusha fine, lakini baada ya kama dakika 20 hv connection inareset, hivo downloading inakatika mpaka u-disconect na kure-connect tena kisha kuanza upya downloading! najikuta nakula bytes zangu bila tija!! "hang'ap" zimezidi sana, NIFANYEJE?
 
Rafiki yangu tumia programu yoyote ambayo inakuwezesha kudownload kwa haraka pia inaweza kufanya resume kama net imekata au umeme kwahiyo baadaye unaweza kuendelea kudownload kama www.internetdownloadmanager.com au www.speedbit.com zina free edition za siku 30 kila moja kwenye programu hizo naamini zitaweza kukusaidia ila hiyo resume sio kwa files na tovuti zote
 
downloading zingine zazizungukia kwenye limewire, it works fine. nasumbuka sana napodownload kitu km kwenye rapidshare nk. vilevile sipendi net inavyodrop!!
 
jaribu kutumia Download Accelerator Plus ninasupport resume for almost every website na ipo fast kweli
 
Mkuu pole sana,
Nakushauri utumie Orbitdownloader hii ni nzuri sana kila kitu unakipakuwa bila shida yoyote.
 
wasiliana na ttcl hilo ni tatzo lakiufundi wanakuwa wamekulimit kwenye kudounloud unapozidisha inajiriset mpaka uingize tena password nimewakukutana na tatizo kama hilo nikawaona
 
wasiliana na ttcl hilo ni tatzo lakiufundi wanakuwa wamekulimit kwenye kudounloud unapozidisha inajiriset mpaka uingize tena password nimewakukutana na tatizo kama hilo nikawaona

wazo zuri mkuu.
 
hapo hakuna cha download agent yoyote ile, ni suala la ISP. Check with your ISP - TTCL they will advice you, it could be some settings have been applied on your account. Na pengine muda unaodownload bandwidth in inakuwa ndogo sana kutokana na hits za wateja kuwa nyingi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom