Msaada:mtaji wa .1.5 unafaa biashara gani?

mean girl

Member
Feb 22, 2011
27
1
Natanguliza shukrani za dhati,na ningependa kupewa msaada kujua je mtaji wa 1.5 unafaa biashara gani hapa bongo? Asanteni
 
Natanguliza shukrani za dhati,na ningependa kupewa msaada kujua je mtaji wa 1.5 unafaa biashara gani hapa bongo? Asanteni
Mkuu hujaeleweka kwamba una maana ya 1.5million, billion au trillion??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom