Msaada: Movie kwenye blackberry

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
Wandugu mimi huwa naangalia movie ktk BB curve 8520, sasa nikitaka kuforword kidogo au kubackword kidogo, huwa

sioni hiyo option, huwa inaforword mpaka mwisho au ku anza mwanzo kabisa....naomba msaada wenu nifanye nini

ili niweze kuforwd au ku backword kidogo
 
Natumia bold hopefully itasaidia, kwa kutumia hicho kitaili cha kuzungusha kasa, kitoe hapo kwenye option ya kuplay/stop kwenda juu, kitasimama kwenye mstari unaoonyesha kiasi gani umeCheza, sukuma mbele ama nyuma kitail kwa sekunde utakazo
 
hapo kwenye red sijakupata .....vipi nitaweza kusukuma hicho kitail

Natumia bold hopefully itasaidia, kwa kutumia hicho kitaili cha kuzungusha kasa, kitoe hapo kwenye option ya kuplay/stop kwenda juu, kitasimama kwenye mstari unaoonyesha kiasi gani umeCheza, sukuma mbele ama nyuma kitail kwa sekunde utakazo

oy 8520 huwa haina kile ki d pad cha kuzungusha... Yenyewe ni ya ku touch
 
pandisha Hapo Juu ya hicho kimstari,then click Afu Tumia Hyo Pad yenye Sense,kupeleka mbele au kurudisha nyuma.
 
Back
Top Bottom