Mwenda_Pole
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 281
- 66
Heshima mbele wakuu
Nina computer 3 aina ya DELL optiplex 760, zinasumbua sana ukiwasha zinabaki kuwaka taa rangi ya orange.
Marekebisho yake inatakiwa kubadili motherboard. Kama kuna mtu yeyote anafaham mahali naweza kupata motherboard kwa ajili ya computer za dell Optiplex 760 au optiplex 755 Naomba unipe taarifa. mambo ya bei tutaelewana.