Msaada: Mke wangu ana vidonda ukeni

jastin ndangala

New Member
Dec 23, 2023
1
1
Nimeishi na mke wangu kwa zaidi ya miaka 7 lakini huwa kuna wakati tunakuwa mbalimbali kama mwezi hivi kutokana na biashara

Kama siku 5 zimepita ananiambia anaumwa sehemu za siri nimeenda kumuona nimekuta mashavu yote ya uke yamejaa vidonda hadi kutembea hawezi .

NAHISI AMECHEPUKA AKAAMBUKIZWA ZINAA

Je, yawezakuwa sahihi. Ushauri please
 
Unalo!
 
Kabla ya kumuhukumu mpeleke hospitali kwanza. Sio kila kipele/kidonda sehemu za siri ni ugonjwa wa zinaa.

Ila kuna vitoto vinapaka mkongo, inawezekana wife kakutana nao akapewa nje ndani za nguvu mpaka kuchubuliwa
 
Back
Top Bottom