Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,211
heshima kwenu ndugu zangu!!!
namchumba wangu toka pande za arusha, nampenda sana, na kama mungu akipenda very soon atakua mama watoto, ila anameno ya arusha(yameungua). sio kwamba yananiboa ila kama kuna dawa ningependa mnisaidie coz ata yeye anapenda sana meno meupe. shukrani ndugu zangu.