Msaada: Mdogo wangu amepengiwa OUT

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Habari zenu wadau:.

Rejea kichwa cha habari ... Naomba kujuzwa taratibu za kubadili chuo....

Sijaridhika na Elimu na Mazingira ya Open University of Tanzania (OUT)..

Alisoma CBG na amepata BCB........

Anapenda sana Kozi zinazohusisha AFYA ila zote amekosa na amepangiwa Education.....

Nawasilisha..
 
nwnda TCU n very simple kubadilishiwa ila awah na atapelekwa udom
 
#Ramadhani ... Muda huu ndio anatoka KIU.... TCU walimjibu kuwa amechelewa. .

Tumeamua akaaply chuo direct kuliko kwenda Open.
 
PERy.... Jina limeonekana Jana baada ya kwenda TCU...

Hakuomba OUT..... Hivyo hatukushughulika kuangalia OUT.....
 
Last edited by a moderator:
Duhh
poleni sana.
of course kwa performance za BBC = zamani ilikuwa I ya point saba kali kabisa. ilibisi aende SUA ama ama health courses. sasa kwa education naona ni mpango wa serikli kuweka walimu wa sayansi wengi bila kumuuliza mtu kama anataka ama la. angekuwa ana Two ama Three basi ningesema sawa. ila kwa hizo score hapana.
 
Maarifa..

1. SUA
Kwa Sua alioma BVM, na Animal Science.

2. Muhimbili
Aliomba Enviromental Health na Nursing...

3. Udom
Aliomba MD na Nursing..

Ila zote ameambulia chenga..

Nilijarbu kumshauri asubiri mwakani aombe hata Diploma ya Kozi yoyote ya Afya..... Ila naona ana hamu na chuo kikuu..

.
 
kuwa siriazi mkuu hiyo idadi ya kozi ipo exceeded kwa mfumo wa cas..i stand 2b corrected!
 
Last edited by a moderator:
Duhh
poleni sana.
of course kwa performance za BBC = zamani ilikuwa I ya point saba kali kabisa. ilibisi aende SUA ama ama health courses. sasa kwa education naona ni mpango wa serikli kuweka walimu wa sayansi wengi bila kumuuliza mtu kama anataka ama la. angekuwa ana Two ama Three basi ningesema sawa. ila kwa hizo score hapana.
Zamani ilikuwa Div 2 pt 10 ( which is not bad anyway).
 
Sio yy tu hata mm nimepangiwa OUT ila nimeamua kufanya Diploma ya Afya...This is Africa NO ONE HAS EVER DREAMED WE ALL HA NIGHTMARES
 
Ukishaweka kozi nne ambazo sio Education na kozi ya 5 ukaweka Education,, hawanahaja na zile zingine wewe moja kwa moja ni Education,,,,, hii imeanza mwaka 2011 kwa taarifa yenu ndio hali ilivyo
 
Wote hapo juu mnapotoshana tu, Open University of Tanzania ni chuo kikuu cha Serikali na kikongwe chenye hadhi kitaifa na kimataifa. Kina Professors, Doctors, Assistant Lecturers na Turtorial Assistants kibao na wenye ujuzi wa hali ya juu. You can't compare OUT with Universities like KIU, SAUT, TEKU, SEKOMU, JORDAN, TUMAINI MAKUMIRA, UNIVERSITY OF IRINGA, UDOM, MIPANGO, IFM, CBE, UNIVERSITY OF BAGAMOYO, etc except UDSM, SUA and somehow MZUMBE. Unabisha tembelea prospectus yao throught out.ac.tz au fanya more research on that. Acha dogo akapate elimu bora OUT...Ahsante
 
Back
Top Bottom