RayB
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 2,751
- 196
Habari wakuu, nadhani nitakuwa nimekuja katika sehemu sahihi. Nina camera aina ya fujifilm A800 na laptop aina ya Mac lakini mara ninapoconnect camera haisomi kabisa katika computer.
Tatizo hili lilianza mara nilipoamua kuweka office 2008 katika computer lakini kabla ya hapo kila kitu kilikuwa ni shwari. Lakini vitu vingine kama vya voice recorder vinasoma kama kawaida.
Je tatizo litakuwa ni nini? Naomba msaada tafadhali. Thanks