Shishi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 1,242
- 39
Du! wakina dada wamekuwa wakali! naogopa hata kutia neno
ahahahaha sio ukali...hii thread inalenga kina sisi sana ....very skewed.
Usiogope changia tu we are sharing!
Du! wakina dada wamekuwa wakali! naogopa hata kutia neno
Du! wakina dada wamekuwa wakali! naogopa hata kutia neno
Ukali wa baba, mimba kukanwa na mwanamme, umri, n.k. kama ulivyosema sio sababu zisizoweza kuzuilika hadi kufikia uamuzi wa kutoa mimba (kuua binadamu). Ni bogus kabisa kutumia visingizio hivyo na kuondoa uhai wa binadamu asiye na makosa na aliye defenseless!! Shame on all the people who use those lame a.ss excuses to kill unborn babies. Abortion is so wrong on so many levels.
Nakusapoti Julius, hata kama na mimi ni mwanamke, mambo hayo ya ukali wa baba, mwanaume asiye serious, umri, shule ni mambo ambayo wanaotoa mimba wanayafanya kama excuse lakini cha kushangaza ni kwamba haya mambo huwa yanakuwepo kabla ya kujamiiana lakini hawayafikirii kwa undani hadi hapo mimba zinapoingia..
kama hizo ndio sababu za kutoa mimba kwa nini zisiwe ndio sababu za kutojamiiana na mtu au kujikinga?
Wapendwa wanaJF, nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuhusu kabla mtu hajaingia kwenye ndoa akaambiwa ukweli kwamba mwenzi wake alikuwa na tabia ambazo sio nzuri, kwa mfano umalaya, uhuni, ulevi, kutoa mimba, nk. Je, ni vizuri jamani au itamfanya awe mbali zaidi na mwenzi wake kuliko kujua undani wake? Kwa ujumla: Lipi bora, kujua au kutokujua juu ya tabia au mambo hayo kabla? Msaada tafadhali, msiniulize kama yamenikuta au la!
..Kaazi kweli kweli.....!!sasa hii thread naona imegeuka kuwa kudiscuss utoaji mimba..... hivi nyie wanaume nasi tukiwauliza mimba ngapi zako zilitolewa??? mtajibu?? its both ways eti! is it the biggest crime or sin that a woman cd commit???
mie naona cha muhimu ni tabia alizonazo mtu wakati wa uchumba ambazo kama upo karibu nae sana utakuwa umeshazijua kabla hata ya kuchumbia, mambo mengine mabaya huwa yanakuwa yamepita mda mrefu tuu na huyo mchumba anakuwa amejifunza na kuachana nayo, na sidhani kama kuna haja ya kuya tifua tena hasa kama ni ya kuumiza roho cha muhimu ni kuwa wazi na kuchunguza tabia ambazo bado mtu anazo sasa...
Tatizo mada inajadiliwa kwa mlengo wa kina dada zaidi huku members wakisahau relationship ni kati ya two equal partners, mwanamke na mwanamme.Du! wakina dada wamekuwa wakali! naogopa hata kutia neno
mie ckutakaga kujua huko nyuma alikuwaje, nilitajka nijue tulipoanzia na tunapoelekea bac inatosha, hapo nikutaka kudanganyana tu.....
Kweli dada. Yule bibi kwenye Titanic alisema kuwa "A woman's heart is an ocean full of secrets". Mtu aking'ang'ania kuambiwa, atapewa hadithi hata kama ni za kupika, shauri yake!! Ni vema kuanzia ulipo na kuangalia mbele bila kutumia muda mwingi kwenye side mirror. Hiyo itaepusha ajali zisizo za lazima.

I love your opinions DC...hivi wewe ni she / he
Wapendwa wanaJF, nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuhusu kabla mtu hajaingia kwenye ndoa akaambiwa ukweli kwamba mwenzi wake alikuwa na tabia ambazo sio nzuri, kwa mfano umalaya, uhuni, ulevi, kutoa mimba, nk. Je, ni vizuri jamani au itamfanya awe mbali zaidi na mwenzi wake kuliko kujua undani wake? Kwa ujumla: Lipi bora, kujua au kutokujua juu ya tabia au mambo hayo kabla? Msaada tafadhali, msiniulize kama yamenikuta au la!
Ahsante sana dada. Nimekupigia senksi kama wanavyosema wanajamvi. Mimi ni big HE tena, a real husband and a dad. I can't wait to see my 3 boys becoming inspirations to some girls' hearts as genuine husbands like their dad (siyo mambo ya kichina)!