Sal
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 498
- 227
Ukali wa baba, mimba kukanwa na mwanamme, umri, n.k. kama ulivyosema sio sababu zisizoweza kuzuilika hadi kufikia uamuzi wa kutoa mimba (kuua binadamu). Ni bogus kabisa kutumia visingizio hivyo na kuondoa uhai wa binadamu asiye na makosa na aliye defenseless!! Shame on all the people who use those lame a.ss excuses to kill unborn babies. Abortion is so wrong on so many levels.
wewe utakayetunga hiyo mimba na kuikataa ndio utasababisha kitoto chako kutolewa kabla ya wakati, ungekua umekuja kwangu na gea njema ya upendo wa kweli, kitoto kisingeuliwa, lakini kwa vile unakuja kufanya uchafuzi tu unakataa damu yako na kusababisha kikatishwe maisha. usijifanye wewe ni msafi sana na kudhani wanawake ndio wenye dhambi. kama wewe ni mwanamme afadhali unyamaze maana hujui alotowa nini kimempelekea kufanya hivyo.