Msaada kwenye Dell Larirude D610

Limbani

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
1,438
442
Habari wakuu.
Nina laptop yangu Dell Latitude D610 betri yake haichaji na pale kwenye icon ya charging inawaka rangi ya orange mara nne then kijani mara moja. Niondoa power source laptop inazima ikonesha kwamba betri ni empty. Nikadhani labda tatizo ni betri hivyo nikanunua mpya lakni bado tatizo ni lile lile. Naombeni msaada kwa mnaujua vizuri.
Nawakilisha.
 
Umejaribu kuicharge na charger tofauti na ya kwako? yaani a using a different charger??
 
yaani hizi laptop huwa ni kimeo hasa kwenye power button..jaribu kufata maelezo ya leney..au chaji kwenye laptop nyingine halafu ndiyo uweke hapo kwenye laptop yako na ununue kifaa kabla kuja jua kama ndicho chenye tatizo ita-cost ..kama uko arusha ni pm
 
vp umejaribu ku2mia bila kuweka batter ikawaka au ndo inaonyesha hvyo hvyo jaribu na ukiona haiwak ujue charge system ni mbovu sawa fanya hvyo alafu 2ambie
 
Nikitumia bila kuweka battery inawaka vizuri tu, ngoja nijaribu kucharge na another charger
 
Umejaribu kuicharge na charger tofauti na ya kwako? yaani a using a different charger??

bado mkuu ndio natafuta mtu mwenye laptop kama yangu niweze kucharge, i will let you know
 
yaani hizi laptop huwa ni kimeo hasa kwenye power button..jaribu kufata maelezo ya leney..au chaji kwenye laptop nyingine halafu ndiyo uweke hapo kwenye laptop yako na ununue kifaa kabla kuja jua kama ndicho chenye tatizo ita-cost ..kama uko arusha ni pm

Ahsante mkuu, nipo Moro
 
Habari wakuu.
Nina laptop yangu Dell Latitude D610 betri yake haichaji na pale kwenye icon ya charging inawaka rangi ya orange mara nne then kijani mara moja. Niondoa power source laptop inazima ikonesha kwamba betri ni empty. Nikadhani labda tatizo ni betri hivyo nikanunua mpya lakni bado tatizo ni lile lile. Naombeni msaada kwa mnaujua vizuri.
Nawakilisha.

unatakiwa umwone mataalamu wa IT aliye karibu yako. Tatizo lake ni terminal za betry zilizopo kwenye laptop yako au cmos betry inafeli kufanya kazi, ambayo inasadia software za betry system kuadapt kwenye cpu.
Fanya troubleshooting ya power na betry setting system.
Zaidi nipigie.. 0712 27 71 95 mr sande.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom