Msaada: Kwanini Vijana Wengi Wa Tarime, Kilimanjaro, Mbeya Na Dar Wanavuta sana bangi?

uku geita mmea ndo unatufanya tuyasake madini ipasavyo.pusha anauza kama bidhaa zingine sokoni.(nyarugusu,lwamgasa nk)
 
Tena huko Kilimanjaro c bange tu,viloba ndo habar ya mjini huko.Familia ya baba,mama,watoto na wakwe kama wapo ni full ganja na kiloba
 
Kilimanjaro hawali ndumu bana. Kule ni bhunu mbuni na kimorali. Ndo maana wakenya wanawasidia kumega
 
Back
Top Bottom