Msaada kwa wenye kufahamu kuhusu malipo ya Serikali

Ndugu WanaJf,

Jana niliweka hapa bandiko linalohusu pesa za kujikimu wilaya ya Ileje kufanyiwa zengwe na baadhi ya viongozi,Kuna issue mpya imeibuka ambayo tunaomba wanaojua humu watusaidie sisi ajira mpya.

Issue yenyewe ni hii:pesa za kujikimu zimetolewa na zimefika halmashauri,wakaziweka kwenye vifungu na katika hatua ya mwisho ya kuziweka bank,viongozi hao kupitia katibu wa hospitali ya wilaya wanadai kuwa pesa hizo Tena zimeshinitumbadwa kuingia kwenye akaunti zetu kisa mtandao wa B.O.T unasumbua na ukikaa sawa zitaruhusiwa kuingia.

Maswali yangu ni haya kwenu nyie wajuvi wa masuala ya namna malipo ya serikali yanavyokua.

1. Inawezekana pesa itoke B.O.T kuja halmashauri na waraka wa malipo utolewe halafu Tena katika malipo hayo ngazi ya halmashauri hao BOT wahusike?

2. Inawezekana mtandao wa BOT ukasumbua kwa almost week nzima?

3. Je ni nani hasa wa kumfuata ili tupate hizo pesa?

Maana hali yetu huku vijijini sio rafiki, tunateseka na wenyeji hawajali maana wanajua tuna pesa.

Wanabodi tusaidieni wadogo zenu.
Wezi hao

Huku KOROGWE DC kuhusu hiyo pesa ya kujikimu ajira mpya eti wanaambiwa kifungu cha kutolea hiyo pesa kwenye mfumo kime bast 😀😀😀

Kuhusu posho ya call kwa watumishi wa afya hasa madktari na wauguzi,baadhi ya wilaya wanapokea posho zao kila mwezi Ila KOROGWE DC sasa ni miezi 8 hii watumishi hawapewi posho ya call

Wizi,wizi,wizi mtupu
 
Serikali iwe inafanya malipo haya direct bila kupitia halmashauri. Kuna ukiritimba Sana huku.
 
Pole Sana hii changamoto ila mashahara unapata ? Kama bado Bora uweke namba tukuchangie ili usije ukafa kwa stress na njaa maana Maisha ya ugenini huko bila pesa ya matumizi Magumu Sana.
 
Ni kweli mfumo unasumbua wa BOT , Pia ujue hamna hela itakayopitishwa zaidi mshahara kwa tarehe hizi, Kila Hela inapigwa zuio kuelekea tarehe za mishahara....hii ni kawaida sana.

Mimi ni Internal Auditor wa halmashauri Fulani Kenya...au Tanzania.Uliza chochote nikujibu,
Asante mkuu umeileta kitaalam na kimazoea na nimekupata sana So baada ya mishahara zitatoka au?
 
Ukweli ni mtapunguziwa labda nusu otherwise Mkurugenzi wenu awe hajali kabisa, fedha nyingi hasa zinazohusiana na madeni ya watumishi wa hospital ajira mpya ziliwasili, shida itakayokuwepo ni jina lako kutokuingizwa au kuingizwa kwenye orodha ya madeni ( kumbuka first draft za vitabu vya fedha 2022/23 ilishakabidhiwa na hapa tunasubiri adjustment window ili kuingiza madeni yaliyosahaulika), kimsingi DED hatakiwa kulipa deni ambalo liko njee ya vitabu
 
Ni kweli mfumo unasumbua wa BOT , Pia ujue hamna hela itakayopitishwa zaidi mshahara kwa tarehe hizi, Kila Hela inapigwa zuio kuelekea tarehe za mishahara....hii ni kawaida sana.

Mimi ni Internal Auditor wa halmashauri Fulani Kenya...au Tanzania.Uliza chochote nikujibu,
Hivi Mrs Auditor nina swali.

Mtumishi wa HALMASHAURI anapewa posho ipi na ipi? (Za mwezi).
 
Wezi hao

Huku KOROGWE DC kuhusu hiyo pesa ya kujikimu ajira mpya eti wanaambiwa kifungu cha kutolea hiyo pesa kwenye mfumo kime bast 😀😀😀

Kuhusu posho ya call kwa watumishi wa afya hasa madktari na wauguzi,baadhi ya wilaya wanapokea posho zao kila mwezi Ila KOROGWE DC sasa ni miezi 8 hii watumishi hawapewi posho ya call

Wizi,wizi,wizi mtupu
Tatizo watu wanatuhumu watumishi wa halmashauri bila kujua kwamba si kila aliyepo halmashauri anahusika na masuala ya malipo na bila kujua ni kipi kinafanyika mpaka malipo yakamilike hasa kwa hawa wanaoajiriwa na hela yao kutumwa halmashauri. Kutumwa kwa hela siyo kwamba ikifika leo kesho mhusika anapata. Haiko hivyo na wala huwezi mlaumu mtu wa halmashauri kwa vyovyote vile.

Marytina Prince Mhando Supu ya kokoto Kwa ufupi iko hivi, pesa inatumwa na kuingizwa kwenye akaunti ya halmashauri (naongelea hawa walioajiriwa elimu na afya), halmashauri wanaomba TAMISEMI wawape kifungu cha kulipia hiyo hela kupitia kwa katibu tawala mkoa. Hapa ni kwamba hela hiyo inapokelewa ikiwa bajeti za halmashauri zimeshapitishwa na bunge. TAMISEMI nao wanafanya taratibu zao na Wizara ya fedha, wanarudisha majibu kwa halmashauri kupitia mkoa kwa kuwapa kifungu wao wanaita ceiling (hapa wanaelewa watu wa uchumi na maafisa mipango huko halmshauri kuna taratibu wanafanya na kwasasa naambiwa wanatumia mifumo).

Wakipata kifungu wanaanda bajeti ya kuwalipa hao watu na wanasubiri wizara ya tamisemi waidhinishe na hicho kifungu kisomeke kwenye mfumo wa malipo walipe. Kifungu kikishasoma watu wa uhasibu ndiyo wanaweza kulipa. Hapa sasa ndiyo huwa kuna changamoto sababu halmashauri wao wanaweza kukamilisha taratibu zote mapema mara tu pesa inapoingia lakini wizara wakatumia muda mrefu kuwapa mkoa na halmashauri mwanya wa kukamilisha hatua za mwisho za malipo. Hapo ndipo unakuta wanakaa kwa muda mrefu. Kama mkoa na wizara wanakamilisha taratibu zao mapema kwa halmashauri kunakuwa hakuna kukaa na ni suala la muda hata wiki haipiti labda watumie muda kwenye kukokotoa kila mtu analipwa kiasi gani na kuzungusha hati za malipo kama wanaopitisha hawapo.

Pia kwa halmashauri ambayo inakuwa na uwezo au ina kifungu cha kulipia hiyo hela wanaweza kuwalipa wahusika ili taratibu za hapo juu zikikamilika inakuwa ni kufidia.

Kinachowafanya wakae sana kwa baadhi ya halmashauri ni kukwepa hoja za ukaguzi kwa maana wanaweza kutumia mfano kifungu cha mafuta au likizo kulipia malipo ya kujikimu kwa ajira mpya na mkaguzi akija wanakuwa na hoja za ukaguzi za wrong coding kwamba walitumia vifungu kinyume na matakwa ya kikanuni (hapa wahasibu wanaelewa). Kwamba kwenye nyaraka inasomeka kuwalipa hela ya kujikimu lakini kifungu kinasomeka ununuzi wa mafuta na hapo mkaguzi anakuwa na mashaka (hati yenye mashaka ingawa zipo sababu nyingi).

Kuepuka hili wanasubiri mpaka kifungu husika kiwepo. Ukiambiwa kimeburst ni sawa na wewe ukiishiwa salio kwenye simu ina maana huwezi piga simu.

SUALA la mfumo wa BOT ni sahihi kabisa sababu mimi natoa huduma kwenye halmashauri moja na hilo nimekuwa nikikumbana nalo mara kadhaa wakati wa malipo lakini ukifunguka nalipwa. Tusiwabebeshe lawama nao wanafanya kadri mifumo inavyowaruhusu

KUHUSU pesa ya call allowance ninachojua fedha hiyo inatoka serikali kuu na kwa uzoefu wangu huwa inatolewa kidogo kidogo na kwa vipindi. Sasa huwezi mlaumu mtu wa halmashauri kwamba hajalipa wakati amepokea kidogo au hajapokea kabisa. Mara nyingi nilichokuwa nakiona ni kwamba wakipokea kidogo wanaanza kulipa madai ya nyuma kuja ya mbele kadri wanavyopokea pesa. Hii ni sawa na walimu ambao nao hela yao ya likizo inatoka serikali kuu na si halmashauri.

Tatizo la watumishi mlioko halmashauri hasa nje ya makao makuu na wale mlioko kwenye mashirika ya serikali ni mnapenda yale maneno ya kuambiwa badala ya kujua taratibu zikoje. Unakuta mtu anasema anadai hela ya likizo lakini hajawahi kuandika barua ya kuomba hiyo hela zaidi ya kujaza fomu ya likizo tu. Mwingine unakuta anaomba kulipwa nauli ya kwenda kigoma kutokea mtwara tuseme 200K wakati kwenye taarifa zake alisema makazi yake ni lindi na anapswa kulipwa 20K. Sasa huyo utakuta analalamika kwamba niliomba hela ya likizo 200K nikalipwa 20K na hajalipwa yote.

Ushauri wangu ni kwamba, kama upo kijijini pendeni kuwatumia wale walioko makao makuu wawajuze taratibu za malipo zilivyo na mtaishi kwa amani ukiachana na changamoto za majungu na kusumbuliwa na kila mtu kisa upo halmashauri. Hawa watu wanastahili kutiwa nguvu sana na kuboreshewa mishahara yao.

Mimi niliajiriwa 2008 kama afisa biashara na niliacha kazi 2011 kutokana na niliyoyakuta huko ya kutuhumiwa mwizi achilia mbali kimtaji kidogo nilichopata kwa kujibana sababu sikuwa na majukumu mengi. Imejengeka kwamba watumishi wa halmashari ni wezi ili kuhalalisha wizi kwenye wizara na mashirika huko sababu wao hawana mtetezi na ni watoto wa mkulima.

Hivi unapeleka milioni 20 halmashauri ya kigoma na halmashauri ya temeke ujenge darasa lenye tiles, miundombinu ya umeme na uweke meza na viti unategemea nini!! Mtu wa temeke atajenga lakini mtu wa mafia hataweza kukamilisha vyote hivyo na mwisho mtu atasimama jukwaani anasema wa kigoma ameiba ila wa temeke amekamilisha kwa milioni 20.
 
Ukweli ni mtapunguziwa labda nusu otherwise Mkurugenzi wenu awe hajali kabisa, fedha nyingi hasa zinazohusiana na madeni ya watumishi wa hospital ajira mpya ziliwasili, shida itakayokuwepo ni jina lako kutokuingizwa au kuingizwa kwenye orodha ya madeni ( kumbuka first draft za vitabu vya fedha 2022/23 ilishakabidhiwa na hapa tunasubiri adjustment window ili kuingiza madeni yaliyosahaulika), kimsingi DED hatakiwa kulipa deni ambalo liko njee ya vitabu
Mkuu kwahiyo kama kijana anastahili kulipwa 150000 kwa siku kwa muda wa siku saba, nusu yako hapa imekaaje? Yaani atalipwa 75000 kwa siku? Na je lini halmshauri zitawalipa hawa vijana baada ya madeni yote uliyosema?
 
Aisee poleni sasa watumishi wa local government halmashauri kweli kuna ma giant wanajifanya miunguwatu hawajui shida zamwenye njaa.Binafsi mimi niliporeport tu kwa boss wangu kesho yake muhasibu akanipa hela ya kujikimu na kesho kutwa nilikutana na activity moja hiyo boss akanichomeka yaani haijawahi kutokea ume report leo kesho kutwa site hakuna hata kalikizo kale cha week mbili nilikula maisha yaan week ya kwanza tu staff wakajua na tabia zangu za mitungi.
 
Mkuu kwahiyo kama kijana anastahili kulipwa 150000 kwa siku kwa muda wa siku saba, nusu yako hapa imekaaje? Yaani atalipwa 75000 kwa siku? Na je lini halmshauri zitawalipa hawa vijana baada ya madeni yote uliyosema?
Kitombile Hakuna cha kulipwa nusu kama pesa imekuja kamili. Wanaolipwa au waliolipwa nusu ni wale ambao halmashauri waliamua kutumia mapato yao kuwalipa ili kupunguza ukali wa kusubiri wakati wanakamilisha taratibu za pesa ya serikali kuu na zikikamilika wanalipwa kilichobaki. Kama hawajalipwa kabisa lakini pesa imeshatumwa ina maana watalipwa kamili at per. Rejea post ya 31
 
Sawa kamanda coz tunachakata mbususu lkn hatuna amani moyoni😂😂😂
 
Ukweli ni mtapunguziwa labda nusu otherwise Mkurugenzi wenu awe hajali kabisa, fedha nyingi hasa zinazohusiana na madeni ya watumishi wa hospital ajira mpya ziliwasili, shida itakayokuwepo ni jina lako kutokuingizwa au kuingizwa kwenye orodha ya madeni ( kumbuka first draft za vitabu vya fedha 2022/23 ilishakabidhiwa na hapa tunasubiri adjustment window ili kuingiza madeni yaliyosahaulika), kimsingi DED hatakiwa kulipa deni ambalo liko njee ya vitabu
Ila mbona halmashauri kama ya tunduma wameshapewa. Hii huwa imekaaje? Sisi walikuwa wanatwambia tutapewa then wakaanza kuleta habari kuwa malipo yetu yako tayari shida sasa iko BOT.
 
Mkuu asanteb
Tatizo watu wanatuhumu watumishi wa halmashauri bila kujua kwamba si kila aliyepo halmashauri anahusika na masuala ya malipo na bila kujua ni kipi kinafanyika mpaka malipo yakamilike hasa kwa hawa wanaoajiriwa na hela yao kutumwa halmashauri. Kutumwa kwa hela siyo kwamba ikifika leo kesho mhusika anapata. Haiko hivyo na wala huwezi mlaumu mtu wa halmashauri kwa vyovyote vile.

Marytina Prince Mhando Supu ya kokoto Kwa ufupi iko hivi, pesa inatumwa na kuingizwa kwenye akaunti ya halmashauri (naongelea hawa walioajiriwa elimu na afya), halmashauri wanaomba TAMISEMI wawape kifungu cha kulipia hiyo hela kupitia kwa katibu tawala mkoa. Hapa ni kwamba hela hiyo inapokelewa ikiwa bajeti za halmashauri zimeshapitishwa na bunge. TAMISEMI nao wanafanya taratibu zao na Wizara ya fedha, wanarudisha majibu kwa halmashauri kupitia mkoa kwa kuwapa kifungu wao wanaita ceiling (hapa wanaelewa watu wa uchumi na maafisa mipango huko halmshauri kuna taratibu wanafanya na kwasasa naambiwa wanatumia mifumo).

Wakipata kifungu wanaanda bajeti ya kuwalipa hao watu na wanasubiri wizara ya tamisemi waidhinishe na hicho kifungu kisomeke kwenye mfumo wa malipo walipe. Kifungu kikishasoma watu wa uhasibu ndiyo wanaweza kulipa. Hapa sasa ndiyo huwa kuna changamoto sababu halmashauri wao wanaweza kukamilisha taratibu zote mapema mara tu pesa inapoingia lakini wizara wakatumia muda mrefu kuwapa mkoa na halmashauri mwanya wa kukamilisha hatua za mwisho za malipo. Hapo ndipo unakuta wanakaa kwa muda mrefu. Kama mkoa na wizara wanakamilisha taratibu zao mapema kwa halmashauri kunakuwa hakuna kukaa na ni suala la muda hata wiki haipiti labda watumie muda kwenye kukokotoa kila mtu analipwa kiasi gani na kuzungusha hati za malipo kama wanaopitisha hawapo.

Pia kwa halmashauri ambayo inakuwa na uwezo au ina kifungu cha kulipia hiyo hela wanaweza kuwalipa wahusika ili taratibu za hapo juu zikikamilika inakuwa ni kufidia.

Kinachowafanya wakae sana kwa baadhi ya halmashauri ni kukwepa hoja za ukaguzi kwa maana wanaweza kutumia mfano kifungu cha mafuta au likizo kulipia malipo ya kujikimu kwa ajira mpya na mkaguzi akija wanakuwa na hoja za ukaguzi za wrong coding kwamba walitumia vifungu kinyume na matakwa ya kikanuni (hapa wahasibu wanaelewa). Kwamba kwenye nyaraka inasomeka kuwalipa hela ya kujikimu lakini kifungu kinasomeka ununuzi wa mafuta na hapo mkaguzi anakuwa na mashaka (hati yenye mashaka ingawa zipo sababu nyingi).

Kuepuka hili wanasubiri mpaka kifungu husika kiwepo. Ukiambiwa kimeburst ni sawa na wewe ukiishiwa salio kwenye simu ina maana huwezi piga simu.

SUALA la mfumo wa BOT ni sahihi kabisa sababu mimi natoa huduma kwenye halmashauri moja na hilo nimekuwa nikikumbana nalo mara kadhaa wakati wa malipo lakini ukifunguka nalipwa. Tusiwabebeshe lawama nao wanafanya kadri mifumo inavyowaruhusu

KUHUSU pesa ya call allowance ninachojua fedha hiyo inatoka serikali kuu na kwa uzoefu wangu huwa inatolewa kidogo kidogo na kwa vipindi. Sasa huwezi mlaumu mtu wa halmashauri kwamba hajalipa wakati amepokea kidogo au hajapokea kabisa. Mara nyingi nilichokuwa nakiona ni kwamba wakipokea kidogo wanaanza kulipa madai ya nyuma kuja ya mbele kadri wanavyopokea pesa. Hii ni sawa na walimu ambao nao hela yao ya likizo inatoka serikali kuu na si halmashauri.

Tatizo la watumishi mlioko halmashauri hasa nje ya makao makuu na wale mlioko kwenye mashirika ya serikali ni mnapenda yale maneno ya kuambiwa badala ya kujua taratibu zikoje. Unakuta mtu anasema anadai hela ya likizo lakini hajawahi kuandika barua ya kuomba hiyo hela zaidi ya kujaza fomu ya likizo tu. Mwingine unakuta anaomba kulipwa nauli ya kwenda kigoma kutokea mtwara tuseme 200K wakati kwenye taarifa zake alisema makazi yake ni lindi na anapswa kulipwa 20K. Sasa huyo utakuta analalamika kwamba niliomba hela ya likizo 200K nikalipwa 20K na hajalipwa yote.

Ushauri wangu ni kwamba, kama upo kijijini pendeni kuwatumia wale walioko makao makuu wawajuze taratibu za malipo zilivyo na mtaishi kwa amani ukiachana na changamoto za majungu na kusumbuliwa na kila mtu kisa upo halmashauri. Hawa watu wanastahili kutiwa nguvu sana na kuboreshewa mishahara yao.

Mimi niliajiriwa 2008 kama afisa biashara na niliacha kazi 2011 kutokana na niliyoyakuta huko ya kutuhumiwa mwizi achilia mbali kimtaji kidogo nilichopata kwa kujibana sababu sikuwa na majukumu mengi. Imejengeka kwamba watumishi wa halmashari ni wezi ili kuhalalisha wizi kwenye wizara na mashirika huko sababu wao hawana mtetezi na ni watoto wa mkulima.

Hivi unapeleka milioni 20 halmashauri ya kigoma na halmashauri ya temeke ujenge darasa lenye tiles, miundombinu ya umeme na uweke meza na viti unategemea nini!! Mtu wa temeke atajenga lakini mtu wa mafia hataweza kukamilisha vyote hivyo na mwisho mtu atasimama jukwaani anasema wa kigoma ameiba ila wa temeke amekamilisha kwa milioni 20.

Tatizo watu wanatuhumu watumishi wa halmashauri bila kujua kwamba si kila aliyepo halmashauri anahusika na masuala ya malipo na bila kujua ni kipi kinafanyika mpaka malipo yakamilike hasa kwa hawa wanaoajiriwa na hela yao kutumwa halmashauri. Kutumwa kwa hela siyo kwamba ikifika leo kesho mhusika anapata. Haiko hivyo na wala huwezi mlaumu mtu wa halmashauri kwa vyovyote vile.

Marytina Prince Mhando Supu ya kokoto Kwa ufupi iko hivi, pesa inatumwa na kuingizwa kwenye akaunti ya halmashauri (naongelea hawa walioajiriwa elimu na afya), halmashauri wanaomba TAMISEMI wawape kifungu cha kulipia hiyo hela kupitia kwa katibu tawala mkoa. Hapa ni kwamba hela hiyo inapokelewa ikiwa bajeti za halmashauri zimeshapitishwa na bunge. TAMISEMI nao wanafanya taratibu zao na Wizara ya fedha, wanarudisha majibu kwa halmashauri kupitia mkoa kwa kuwapa kifungu wao wanaita ceiling (hapa wanaelewa watu wa uchumi na maafisa mipango huko halmshauri kuna taratibu wanafanya na kwasasa naambiwa wanatumia mifumo).

Wakipata kifungu wanaanda bajeti ya kuwalipa hao watu na wanasubiri wizara ya tamisemi waidhinishe na hicho kifungu kisomeke kwenye mfumo wa malipo walipe. Kifungu kikishasoma watu wa uhasibu ndiyo wanaweza kulipa. Hapa sasa ndiyo huwa kuna changamoto sababu halmashauri wao wanaweza kukamilisha taratibu zote mapema mara tu pesa inapoingia lakini wizara wakatumia muda mrefu kuwapa mkoa na halmashauri mwanya wa kukamilisha hatua za mwisho za malipo. Hapo ndipo unakuta wanakaa kwa muda mrefu. Kama mkoa na wizara wanakamilisha taratibu zao mapema kwa halmashauri kunakuwa hakuna kukaa na ni suala la muda hata wiki haipiti labda watumie muda kwenye kukokotoa kila mtu analipwa kiasi gani na kuzungusha hati za malipo kama wanaopitisha hawapo.

Pia kwa halmashauri ambayo inakuwa na uwezo au ina kifungu cha kulipia hiyo hela wanaweza kuwalipa wahusika ili taratibu za hapo juu zikikamilika inakuwa ni kufidia.

Kinachowafanya wakae sana kwa baadhi ya halmashauri ni kukwepa hoja za ukaguzi kwa maana wanaweza kutumia mfano kifungu cha mafuta au likizo kulipia malipo ya kujikimu kwa ajira mpya na mkaguzi akija wanakuwa na hoja za ukaguzi za wrong coding kwamba walitumia vifungu kinyume na matakwa ya kikanuni (hapa wahasibu wanaelewa). Kwamba kwenye nyaraka inasomeka kuwalipa hela ya kujikimu lakini kifungu kinasomeka ununuzi wa mafuta na hapo mkaguzi anakuwa na mashaka (hati yenye mashaka ingawa zipo sababu nyingi).

Kuepuka hili wanasubiri mpaka kifungu husika kiwepo. Ukiambiwa kimeburst ni sawa na wewe ukiishiwa salio kwenye simu ina maana huwezi piga simu.

SUALA la mfumo wa BOT ni sahihi kabisa sababu mimi natoa huduma kwenye halmashauri moja na hilo nimekuwa nikikumbana nalo mara kadhaa wakati wa malipo lakini ukifunguka nalipwa. Tusiwabebeshe lawama nao wanafanya kadri mifumo inavyowaruhusu

KUHUSU pesa ya call allowance ninachojua fedha hiyo inatoka serikali kuu na kwa uzoefu wangu huwa inatolewa kidogo kidogo na kwa vipindi. Sasa huwezi mlaumu mtu wa halmashauri kwamba hajalipa wakati amepokea kidogo au hajapokea kabisa. Mara nyingi nilichokuwa nakiona ni kwamba wakipokea kidogo wanaanza kulipa madai ya nyuma kuja ya mbele kadri wanavyopokea pesa. Hii ni sawa na walimu ambao nao hela yao ya likizo inatoka serikali kuu na si halmashauri.

Tatizo la watumishi mlioko halmashauri hasa nje ya makao makuu na wale mlioko kwenye mashirika ya serikali ni mnapenda yale maneno ya kuambiwa badala ya kujua taratibu zikoje. Unakuta mtu anasema anadai hela ya likizo lakini hajawahi kuandika barua ya kuomba hiyo hela zaidi ya kujaza fomu ya likizo tu. Mwingine unakuta anaomba kulipwa nauli ya kwenda kigoma kutokea mtwara tuseme 200K wakati kwenye taarifa zake alisema makazi yake ni lindi na anapswa kulipwa 20K. Sasa huyo utakuta analalamika kwamba niliomba hela ya likizo 200K nikalipwa 20K na hajalipwa yote.

Ushauri wangu ni kwamba, kama upo kijijini pendeni kuwatumia wale walioko makao makuu wawajuze taratibu za malipo zilivyo na mtaishi kwa amani ukiachana na changamoto za majungu na kusumbuliwa na kila mtu kisa upo halmashauri. Hawa watu wanastahili kutiwa nguvu sana na kuboreshewa mishahara yao.

Mimi niliajiriwa 2008 kama afisa biashara na niliacha kazi 2011 kutokana na niliyoyakuta huko ya kutuhumiwa mwizi achilia mbali kimtaji kidogo nilichopata kwa kujibana sababu sikuwa na majukumu mengi. Imejengeka kwamba watumishi wa halmashari ni wezi ili kuhalalisha wizi kwenye wizara na mashirika huko sababu wao hawana mtetezi na ni watoto wa mkulima.

Hivi unapeleka milioni 20 halmashauri ya kigoma na halmashauri ya temeke ujenge darasa lenye tiles, miundombinu ya umeme na uweke meza na viti unategemea nini!! Mtu wa temeke atajenga lakini mtu wa mafia hataweza kukamilisha vyote hivyo na mwisho mtu atasimama jukwaani anasema wa kigoma ameiba ila wa temeke amekamilisha kwa milioni 20.
Mkuu asante. Umemaliza....sikudai kabisa. Nimeelewa
 
No
Kitombile Hakuna cha kulipwa nusu kama pesa imekuja kamili. Wanaolipwa au waliolipwa nusu ni wale ambao halmashauri waliamua kutumia mapato yao kuwalipa ili kupunguza ukali wa kusubiri wakati wanakamilisha taratibu za pesa ya serikali kuu na zikikamilika wanalipwa kilichobaki. Kama hawajalipwa kabisa lakini pesa imeshatumwa ina maana watalipwa kamili at per. Rejea post ya 31
Noted. Tatizo hawa viongozi wetu hawatueleweshi. Wametuunga kwenye makundi ya wasap na wametutelekeza.
 
Serikali iwe inafanya malipo haya direct bila kupitia halmashauri. Kuna ukiritimba Sana huku.
Hili lina ugumu wake na nina uhakika kama ni kulipa moja kwa moja itachukua muda kuliko hata ilivyo sasa. Tafuta watumishi wanaolipwa malimbikizo ya mishahara ndipo utaelewa.

Kwa uzoefu wangu kwenye suala la kuwalipa waajiriwa wapya hasa wanaolipwa kwa pesa kutoka serikali kuu hakuna ukiritimba kwenye halmashauri isipokuwa ni taratibu za zilizowekwa na serikali yenyewe ambapo halmashauri haiwezi zikwepa wala kuzipindisha. Akipindisha ndiyo utasikia amekiuka taratibu, n.k.

Wanaolipwa kwa makusanyo ya halmashauri hapo ndipo kuna changamoto na mara nyingi makusanyo kama hayako sawa na si mfuatiliaji utasumbuka sana. Hata huko kwenye mashirika na mamlaka taratibu ni hizo hizo isipokuwa wao chain yao ni fupi sana na uhakika wa fedha upo kwa 100% kama siyo 99%.
 
Back
Top Bottom