singanojr
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 1,456
- 8,139
Wakuu habari za saa hizi natumaini wote ni wazima
Nimepatwa na tatizo kidogo kwenye pc yangu ni kwamba nilichomoa harddisk nikaitumia kama external sasa wakati wa kuirudisha na kuwasha Pc inanipeleka kwenye system repair .. nimejaribu kufanya repair kwa kureset , kurun SFC , bootrec with CMD ,system restore imeshindikana kutokana na kukosa restore point , nimejaribu kuboot in safe mode pia imeshindikana kwani inanirudisha kwenye recovery mode .
Nimerun pia "chkdsk C ;/r pia
Nina document yangu ni muhimu na ipo kwenye desktop na inahitajika kesho
Shida yangu kubwa ni kuiwasha niweze pata hio DOC kwenye desktop kwani nikisema nipige window i will lose that file
NAOMBENI MSAADA WAJUVI WA WINDOWS