Samahani sana wana jf, naomba mnipe ukweli kuhusu hawa madada zetu wenye fani za unesi. Nasikia hawa watu ndo wa kwanza katika kusaliti ndoa zao kwa kutembea na madaktari wanapokuwa kwenye 'night'. Je hili lina ukweli ndani yake? Naomba kwa yeyote mwenye mengi zaidi kuhusu sifa na mapungufu yao anidadafulie zaidi. Na ni kwa nini watu wengi hawapendi kuwaoa hawa wadada ambao ni manesi?