Msaada kwa wana jf

kagarara

Senior Member
Nov 23, 2010
118
9
Samahani sana wana jf, naomba mnipe ukweli kuhusu hawa madada zetu wenye fani za unesi. Nasikia hawa watu ndo wa kwanza katika kusaliti ndoa zao kwa kutembea na madaktari wanapokuwa kwenye 'night'. Je hili lina ukweli ndani yake? Naomba kwa yeyote mwenye mengi zaidi kuhusu sifa na mapungufu yao anidadafulie zaidi. Na ni kwa nini watu wengi hawapendi kuwaoa hawa wadada ambao ni manesi?
 
Si wote!
Pia mishahara ni kdogo.
Tamaa lazima itakuepo...inabidi wawe wasafi na wapendeze..gharama hizo zitatoka wapi?
Ninae mfaham hana hizo tabia ila mjanja kwenye madawa...kuuza.
-pia ungeeleza nurses wa dispensaries zipi?
Za government au asasi zisizo za serikali au watu binafsi?
Maeneo pia ni muhim ya hivyo vituo.
Mtazamo wangu tu!.
 
Bwana we acha tu dunia ya sasa umalaya wa mtu haupimwi tena kwa fani au kabila, yaani ni ngumu mno, wewe nikuangalia tu kama anakufaa(na sisi wa imani tunashauri maombi pia). Ila wewe jiandae tu kiakili kukabiliana na changa moto mbalimbali katika ndoa maana mambo ni mazuri lakini pia nyakati fulani ni machungu, ndio hivyo ndugu milima na mabonde kwani kiukweli hakuna mtu anaweza ishi pekee yake bila mwenza, hata wasio taka ndoa huwa wana wapenzi/uzinzi.
 
Hili swala la ku-label watu kimakundi linapotosha sana!Huwezi kusema kundi fulani lina tabia hii na ile coz haiwezekani wote wakawa na tabia moja!Hiyo tabia unayouliza kama manesi wanayo wapo hata walokole walio nayo!Usimchambue mtu mmoja kwakutumia kundi...mchambue yeye kama yeye!
 
mie ningepnda useme zaidi juu ya hili maana inawezekana ikawa ni hospital/clinic moja unayoiongelea
 
Si wote!
Pia mishahara ni kdogo.
Tamaa lazima itakuepo...inabidi wawe wasafi na wapendeze..gharama hizo zitatoka wapi?
Ninae mfaham hana hizo tabia ila mjanja kwenye madawa...kuuza.
-pia ungeeleza nurses wa dispensaries zipi?
Za government au asasi zisizo za serikali au watu binafsi?
Maeneo pia ni muhim ya hivyo vituo.
Mtazamo wangu tu!.

Manesi wa hospitali zote!
 
mi haya mambo ya manesi, sijui walimu, ..
ahhh si dhani kabisa kama yanaingiliana na mambo ya kuchet....
na kuna thread fulani tena ilikuwa inaongelea mkabila...
kwa kweli mi dhani ka mtu anatabia ya kutoka nje ya ndoa atatoka tu..
haijalishi kazi , kabila wala nini....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom