Kwa matukio haya hakika Wachina wana damu kali sana

Adolph Jr

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
5,560
8,638
Wasalaam...

Ni muda sasa nafanya utafiti (siyo rasmi) kuhusu muingiliano wa kimahusiano kati ya Wachina ๐Ÿค”๐Ÿค” na watu wa mataifa mengine,

Hapa nazungumzia wa - Europe (Wazungu), wamarekani (Americans) na Waafrika pale wanapoanzisha uhusiano na kufanikiwa kupata mtoto basi huyo mtoto 98% atakuwa mchina.

Nafahamu watatokea wanajf watauliza hao wachina ni watu wa namna gani na nimewatofautisha na watu wa mataifa mengine kwa kigezo gani labda rangi yao (Najaribu kuleta ubaguzi wa rangi) au sura zao na kujumlisha vimacho vyao (Ubaguzi).

Ila lengo langu siyo hilo bali kuonesha na kudhihirisha hakika watu hawa wanashinda pakubwa pale wanapopata nafasi ya kuzaa na raia wa nchi nyingine na yawezekana ikawa sababu moja wapo ya wao kuwa wengi sana duniani (zaidi ya 1.5 Billion).

Kwa wingi wao huo wanatuzidi ata Waafrika tuliopo (1.2 billion) na naona kuna uwezekano mkubwa ndiyo maana wanatuzidi Waafrika pakubwa kwenye suala la maendeleo yaani nchi moja ina lizidi bara zima ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…..

Kwa kulithibitisha hilo video hii ni ya mwanamke mmoja kutoka jimbo la Sagamu, Naijeria alipewa mimba na mchina mjenzi wa barabara na mwisho wa siku alipotaka kuondoka kurudi kwao china alitaka kumnunua mtoto aondoke naye ila mwanamke akamkatalia.

Siyo Naijeria tu ata hapa Tz kuna wadada wengi wa kitz wamebebeshwa mimba na wachina wajenzi wa barabara, madaraja na reli na watoto wakatoka hawana chembe chembe yeyote ya uafrika (samahani wamoroko waliotukana).

Utafiti unaendelea
 
Hii 98% unamaanisha asilimia ya DNA au muonekano wa kifizikia?
Kifizikia maana DNA sikuwahi wapima ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Screenshot_20230924-094850.png
 
Wasalaam...

Ni muda sasa nafanya utafiti (siyo rasmi) kuhusu muingiliano wa kimahusiano kati ya Wachina na watu wa mataifa mengine,

Hapa nazungumzia wa - Europe (Wazungu), wamarekani (Americans) na Waafrika pale wanapoanzisha uhusiano na kufanikiwa kupata mtoto basi huyo mtoto 98% atakuwa mchina.

Nafahamu watatokea wanajf watauliza hao wachina ni watu wa namna gani na nimewatofautisha na watu wa mataifa mengine kwa kigezo gani labda rangi yao (Najaribu kuleta ubaguzi wa rangi) au sura zao na kujumlisha vimacho vyao (Ubaguzi).

Ila lengo langu siyo hilo bali kuonesha na kudhihirisha hakika watu hawa wanashinda pakubwa pale wanapopata nafasi ya kuzaa na raia wa nchi nyingine na yawezekana ikawa sababu moja wapo ya wao kuwa wengi sana duniani (zaidi ya 1.5 Billion).

Kwa wingi wao huo wanatuzidi ata Waafrika tuliopo (1.2 billion) na naona kuna uwezekano mkubwa ndiyo maana wanatuzidi Waafrika pakubwa kwenye suala la maendeleo yaani nchi moja ina lizidi bara zima ..

Kwa kulithibitisha hilo video hii ni ya mwanamke mmoja kutoka jimbo la Sagamu, Naijeria alipewa mimba na mchina mjenzi wa barabara na mwisho wa siku alipotaka kuondoka kurudi kwao china alitaka kumnunua mtoto aondoke naye ila mwanamke akamkatalia.

Siyo Naijeria tu ata hapa Tz kuna wadada wengi wa kitz wamebebeshwa mimba na wachina wajenzi wa barabara, madaraja na reli na watoto wakatoka hawana chembe chembe yeyote ya uafrika (samahani wamoroko waliotukana).

Utafiti unaendelea

Serious uko serious

Hiki unachoongea hapa ni mihemuko yako na hisia
-Huna picha kusupport unachoongelea
-huna document
-huna sample ya watu uliochukua kufanya utafiti
-Huna supportive research inayokusappot yenye similar finding
 
Screenshot_20230924-094847.png

Picha na video ipo hapo juu post #2
 
Wachina wanaproject ya kutengeneza majasusi wenye asili ya nchi Yao na mataifa mengine
๐Ÿค”๐Ÿค” Yawezekana maana siyo kwa kujazana huko huku Afrka yaani kuanzia miradi mikubwa hadi umachinga ni wao ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
 
Back
Top Bottom