habari wakuu?
nimedownload na kuinstall hiyo software ktk pc yangu.sasa tatizo ni kwamba na add hizo torents vizuri ili ziweze kudownload.lkn inakuwa hairespond chochote ht kidogo.nini tatizo na nini utatuzi wake?angalia jinsi inavyokuwa
brother kama umegundua torrent zako hazina health (afya) ili torrent ziwe na afya zinahitaji vifuatavyo
Seeders, hawa wanakua wameshadownload hicho kitu au wanacho kwenye pc zao then wanaseed na wewe uweze download
Tracker, hawa wanaprovide means za kupeana vitu toka mtu mmoja kwenda mwengine.
Sasa wewe download imeshindwa kuanza manake hamna watu wanaoseed so huwez receive data
Torrent ni p2p yani peer to peer nipe nikupe lete upewe something like that sasa wewe huna anayekupa.
Hints tu za kuongeza seeder na tracker ni kila unapodownload kuclick option then properties halafu copy tracker then waeke kwenye notes ukiwa na tracker wengi we wapaste hapo ulipowatoa it may help japo si 100%.
Next time kaka kabla hujadownload torrent make sure ina seeder wengi na leecher wachache
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.