Msaada kwa mwenye uelewa wa Suzuki Escudo toleo la tatu.

iyengamuliro

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
819
366
Habari wa Jf

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Naombeni kwa wenye uelewa wa hizi Suzuki Escudo toleo la tatu CC 2000 kuhusu uimara ,ulaji wa mafuta,upatikanaji wa spea na changamoto zake.
Najua hapa nitapata msaada wakutosha kwani nina ndoto ya kuwa nayo kwa matumizi ya familia.
 
Wandugu nasubiri michango yenu.Naweka hapa chini picha yake.



ATTACH]
 

Attachments

  • 1472657157070.jpg
    1472657157070.jpg
    26.1 KB · Views: 60
Ndugu zangu bado nasubiri michango yenu ya kina ili niweze kufanya maamuzi sahihi.
 
Gharama ni kwenye spea lakini kuhusu unywaji wa mafuta zinatofautiana kuna za six na four, kama una safiri sana safari ndefu chukua yenye six IPO very comfortable
 
Wana Jf bado michango yenu inahitajika sana.Tafadhali wenye uzoefu wa hizi Suzuki.
 
Back
Top Bottom