MUREFU
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,331
- 350
Habar zenu wanathnker kwa muda kidogo nilikuwa nipo off air hii ni kupambana na hal ya maisha ya hapa na pale ili kutimiza kaul ya wazir kila mtu atakula kwa jasho lake. 2achane la hlo kubwa kuliko lote ninajiran yangu wa kike alikuwa na mahusiano ya muda mrefu na kijana mmoja wa kinaijelia. Sasa imefikia ha2a za uchumba yule kijana anamwambia huyu msichana aache kaz aliyokuwa akifanya. Na ukichek huyu dada hyo kaz ndo inampa mlo na maisha na inahudumia hata nyumban kwao. Na huyu kijana wa kijana hana uweza wa kumuhudumia huyu bint sasa anauliza je anafanyeje na maisha yalivyo magumu na anampenda sana jamaa anaomba apate ushaur wenu(usimshaur amuache)